Smart phones.......Wee Dokta wa Manesi, ni kuRa, na wala siyo kuLa!
Au Reo ndugu mkuLugenzi umekuRa mRenda wa KinyaLwanda na BuLundi?!
Kwanini siku za karibuni Samia haonekani kuwa na ziara za nje ya nchi mara kwa mara ?Umeona shangazi alivyotandika mtu huko mkutanoni?
Yaani kachapa, kachapa kwelikweli
Pumbavu. Kwahio kumbe madudu yenu na uchafu wenu hua mnaficha kwa kuwapa watu teuzi na nafasi za kula pesa za umma?Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
maria sarungi ni wa gaza siyoMimi na shanga sana hawa wanaotetea human rights, sana ni wanafiki tu na wala sisemi kama hawako sahihi ila ni wanafiki tu, mbona Gaza yanafanyika zaidi ya haya na hawasemi, nchi ngapi za Magharibi hazina iyo democracy mbona hawasemi
Wazungu hawana issue! Umati usikushtue hata kidogo.Dah! mzee nikiangalia huo umati naogopa mimi..
Umefahamu sasaHawez ondoa hiyo terms maana human rights ni universal. kila nchi ina human rights
Anataka ajira , mpeni ajiraBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Maria ni noma amepasuka ile mbaya, hii big brain na nyingine nyingi zilizo nje ya utawala nchi inazipoteza sababu ya uongozi wa ovyo na siasa uchwara zisizo lenga ustawi wa jamii. Hongera sana Maria Sarungi kwa speech nzuriAisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu
Ndio wenye upeo mzuri kifikra wengi wao awapati nafasi wanao pata nafasi ndio kama ao akina msukuma,tarimba n.kNimemsikiliza na kumwangalia kwa makini, kumbe taifa lina watu wazuri kiasi hiki wakati kina jerry mulo, msukuma na wale vilaza kule bungeni wanatamba...
Ukiwasikiliza wanasiasa wetu wengi walivyo mbumbumbu unaweza dhani ndivyo watanzania wote tulivyo kiakili kumbe watu makini wapo nje ya mfumo wa utawala wetu.
Hongera sana Maria
Huwa nawaambia watu mara kwa mara, nchi kwa mfumo wake mbovu, kuna watu sahihi sana walio nje ya mfumo na kuna watu ******* mnooo yan wapumbavu kupindukia ndio wamejaa kwenye nafasi nyeti za uongozi na vyeo, kuanzia serikalin mpaka sekta binafsi. Unatazamaa bunge ,unonaona kabisa 95% mi mafala flan ambao kiukwel hawana sifa hata 1 ya kuwa mahala patakatifu panapotunga sheria za nchi hii. Sifa kuu yao ni 1 na inawafanana woote, UJINGA ambao uko sugad coated n KUONGEA ONGEA SANAAAAANimemsikiliza na kumwangalia kwa makini, kumbe taifa lina watu wazuri kiasi hiki wakati kina jerry mulo, msukuma na wale vilaza kule bungeni wanatamba...
Ukiwasikiliza wanasiasa wetu wengi walivyo mbumbumbu unaweza dhani ndivyo watanzania wote tulivyo kiakili kumbe watu makini wapo nje ya mfumo wa utawala wetu.
Hongera sana Maria
Aisee sio mchezoAisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu
Pana kitu inaitwa nature instinct yaani nguvu ya ndani Pana watu wapo hivyo wapo tayari kufa kutetea wengine.Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Huyo angekua anataka uchawa saa hii angekua bungeni ila amechagua Haki ambayo masisiemu hawataki kusikiaBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Una uhakika alikuwa hasomi popote?Aisee huyu dada ana upeo wa Hali ya juu sana ukiangalia hasomi kwenye karatasi yote yanatoka kichwani na yapo Kwa mpangilio