Serikali ya South Afrika imetuma maafisa wake Urusi kujadiliana namna ya kurekebisha 'global order' ili kuwe na multipolar world

Serikali ya South Afrika imetuma maafisa wake Urusi kujadiliana namna ya kurekebisha 'global order' ili kuwe na multipolar world

Hao wenye siasa safi wanasababisha raia wa nchi nyingi wanapanga kukimbia mataifa yao kwenda kuishia huko kwenye siasa safi..
Hao wenye siasa safi wanasababisha raia wa nchi nyingi wanapanga kukimbia mataifa yao kwenda kuishia huko kwenye siasa safi..
Ndiyo si kwakuwakea vikwazo na kutishia mataifa mengine wasifanyenao biashara? Na ikibidi kuwavamia kijeshi kabisa ili kwenda kuwatinulia nchi yao alafu badae wanakuja wanasema tulifanya makosa kuivamia Libya wakati taifa wameshalibomoa! Kama hizi ndiyo siasa safi basi ni watanzania uwezo wetu wa kufikiri ni sifuri.
 
Back
Top Bottom