Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Hili ni wazi la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Biriani unalipata wapi,nije tujenge vzr hii hoja
 
Naunga mkono hoja. Nalo mkaliangalie na kulifanyia kazi
 
🤣👍Wazi zuri Ila ..utekelezaji ni impossible
 
Kama unakubali lazima pia ukubali me kufanywa ke maana hiyo ndiyo haki za binadamu!! LGBT kwa kwenda mbele! Naona mashoga wa bongo wanalichangamkia sana hili wazo la kuwa jimbo la USA!!
Hawa mashoga waliojaa Magomeni, Kipata na nchi nzima ni Wamarekani ndio walikuwa wanawafukunyuwa vinyeo vyao?
 
Jimbo la Alaska lilikuwa ni sehemu ya Urusi.

Kisiwa cha Mayote Commoro ni wilaya ya Ufaransa.

Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman na ndio yalikuwa makao makuu ya Sultan.

Zanzibar ingebaki chini ya Oman wangekuwa na maendeleo makubwa, wilivyotekwa na Ccm tu ndio imekuwa laana kama sisi tu.
🤣Jamani usiwaseme CCM
 
Kama unakubali lazima pia ukubali me kufanywa ke maana hiyo ndiyo haki za binadamu!! LGBT kwa kwenda mbele! Naona mashoga wa bongo wanalichangamkia sana hili wazo la kuwa jimbo la USA!!
Hata sasa mashoga na mabasha wapo nchini.
Tatizo wale ni wawazi, ila nyinyi ni wanafki sana!
 
Jiunge pekeako kushndwa kwa kiongozi mmoja kutmia rasilimali zilizopo haimanishi kwamba watanzania wote hawana ufahamu.Hyo thread ni ya mtu aliyekata tamaa,tayari ww ushajikatia tamaana hata hvyo mbona viongoz wetu wanatmia vyema rasilima unataka wafanyaje?Hujasoma ecomic phases?Dont give up!Dont compare yourself wth other.You can show wonders even yourself.Marekani hatuwezi tkaungana nae na kuwa jimbo lake asahau kabisa!
Pepo la umaskini limekuganda halafu ukute mtu kama huyu kashatoswa viza ya Marekani Mara kibao tu.
 
Kama unakubali lazima pia ukubali me kufanywa ke maana hiyo ndiyo haki za binadamu!! LGBT kwa kwenda mbele! Naona mashoga wa bongo wanalichangamkia sana hili wazo la kuwa jimbo la USA!!
🤣🤣🤣Mbona una hoja finyu wewe. South Africa Kuna mashoga na ungeruhusiwa na wabongo wanaenda kuishi. 🤣Leta hoja ya msingi mashoga wapo kila nchi.
 
🤣Jamani usiwaseme CCM
Ccm ni laana kwa Taifa, bora tujiunge na Marekani mtu ataamuwa mwenyewe abaki jimbo la Tanzania au aende kuishi, Chicaco, DC, New York, Missouri, LA, Texas, Las Vegas au vipi, hapo chaguo ni lako maana ni nchi moja na hili sarafu la shilling libaki kwenye jumba la makumbusho pamoja na ule mwenge wa ushirikina wa kuwapumbaza Watanzania.
 
Hili ni wazi la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Ni mecheka kijinga sana , kwamba tuwe wamarekani ghafla,
 
Kila kitu CCM.Mbona hata wewe unaweza ukaandk kweny shati lako CCM.Chama hakna hatia ila watmish waliomo.
 
Ni mecheka kijinga sana , kwamba tuwe wamarekani ghafla,
Sasa Ccm wameshindwa kuongoza na kuachia Madaraka kwa hiyari hawataki, option rahisi ya maendeleo kwa wote ni hiyo tu, kila mtoto atakayezaliwa ni Mmarekani ataamuwa mwenyewe anaishi jimbo gani.

Hizi Ng'ombe za Ccm haziwezi Kuku elewa kwa sababu wanawaza kupoteza Madaraka na ile unanijuwa Mimi nani hakuna, na hawa Polisi wala rushwa wote hawana kazi tunatawanya Sherrif kutoka Texas waende Mbeya, Iringa, Singida na kwingineko.
 
Hili ni wazi la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Watu mnapenda utumwa na kutawaliwa.
Mkuu nenda ukatumike Uarabuni, wana pesa nje nje kuliko Markani
 
Back
Top Bottom