Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Ccm ni laana kwa Taifa, bora tujiunge na Marekani mtu ataamuwa mwenyewe abaki jimbo la Tanzania au aende kuishi, Chicaco, DC, New York, Missouri, LA, Texas, Las Vegas au vipi, hapo chaguo ni lako maana ni nchi moja na hili sarafu la shilling libaki kwenye jumba la makumbusho pamoja na ule mwenge wa ushirikina wa kuwapumbaza Watanzania.
🤣So...unataka kuhama Tena. Sasa huoni utawaonea. Coz wao tayari Wana matatizo ya uhamiaji huko...wamexico, waarabu Tena wabongo muende. Cha muhimu tujiendeleze tusitamani vya watu
 
Kama unakubali lazima pia ukubali me kufanywa ke maana hiyo ndiyo haki za binadamu!! LGBT kwa kwenda mbele! Naona mashoga wa bongo wanalichangamkia sana hili wazo la kuwa jimbo la USA!!
Hakuna anafosiwa kuwa shoga ila wanachosema kila mtu aishi atakavyo so ka wewe ni shogo ni shoga tuu iwe unavaa gauni au suruali kanzu au batiki
 
🤣So...unataka kuhama Tena. Sasa huoni utawaonea. Coz wao tayari Wana matatizo ya uhamiaji huko...wamexico, waarabu Tena wabongo muende. Cha muhimu tujiendeleze tusitamani vya watu
Usichoelewa jimbo la Tanzania ndio litakuwa na maendeleo kuliko jimbo la Texas na hakutakuwa na watu wengi wa jimbo la Tanzania watakaotamani kwenda kuishi majimbo mengine kama New York na DC.
 
Sasa Ccm wameshindwa kuongoza na kuachia Madaraka kwa hiyari hawataki, option rahisi ya maendeleo kwa wote ni hiyo tu, kila mtoto atakayezaliwa ni Mmarekani ataamuwa mwenyewe anaishi jimbo gani.

Hizi Ng'ombe za Ccm haziwezi Kuku elewa kwa sababu wanawaza kupoteza Madaraka na ile unanijuwa Mimi nani hakuna, na hawa Polisi wala rushwa wote hawana kazi tunatawanya Sherrif kutoka Texas waende Mbeya, Iringa, Singida na kwingineko.

Nimecheka kama mjinga, Matola hebu nenda kwenye biriani tuje kukujoin......
 
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Naunga mkono hoja
 
Sasa Ccm wameshindwa kuongoza na kuachia Madaraka kwa hiyari hawataki, option rahisi ya maendeleo kwa wote ni hiyo tu, kila mtoto atakayezaliwa ni Mmarekani ataamuwa mwenyewe anaishi jimbo gani.

Hizi Ng'ombe za Ccm haziwezi Kuku elewa kwa sababu wanawaza kupoteza Madaraka na ile unanijuwa Mimi nani hakuna, na hawa Polisi wala rushwa wote hawana kazi tunatawanya Sherrif kutoka Texas waende Mbeya, Iringa, Singida na kwingineko.
Mkuu una hoja usikilizwe ,
 
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Cha ajjabu hukohuko marekani dp wapo
 
Wewe unapenda uchawa wa Ccm, raslimali za Taifa kunufaisha wachache.

Kwahiyo wanakwenda Marekani wanakwenda utumwani? Mbona hamuishi kuwapiga mizinga?
Mi siwezi kuwa mdudu mchafu, chawa, anaye mkalia na kumtafuna mtu sehemu za sirini binadamu.
Chawa umewaona wakati wa jaribio la kuuza Bandari.

Kwa vyovyote vile kupenda kutawaliwa ni kuutamani utumwa.
Heri umasikini lakini uwe huru.
 
Back
Top Bottom