Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

Bajeti kuwa kubwa au ndogo haina uhusiano na nilichoandika kwenye mada.

Labda umefanya uvivu wa kuisoma post #1
TUMIA AKILI .. TATIZO WEWE UJUI CHEO CHA URAIS KINA MAANA GANI. SAMIA ANAKWENDA KUTUMBUKIZA NCHI SHIMONI VERY SOON. KWAKUWA ALICHAGUA KUWAFURAHISHA WAHALIFU NA KUSHIKAMANA NA WAHUNI WA TAIFA NA KUDHARAU MANENO YA NYERERE KUWA IKULU NI MAHALI PATAKATIFU YEYE KAIGEUZA DANGULO YA WAHUNI NA MAFISADI NA RAIA FEKI ...HATA YESU ALIPOKUTA UCHAFU KWENYE HEKALU LA IBADA ALIVUNJA VITU NA KUWAAMBIA WATU WOTE ...IMEANDIKWA NYUMBA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA IBADA ILA NYINYI MMEIGEUZA PANGO LA WANYANG'ANYI NA WAHUNI ...Hapa ndipo alipo feli Samia ....sasa hivi IKULU IMEGEUKA PANGO LA WAHUNI NA WEZI
 
Mifumo ya kutugawa watutawale ndiyoninayotuumiza.

Burkina Faso na jirani zake wanafanya maamuzi magumu ya kuwachana nayo.

Sisi tunangoja nini?
TUANZE KUPIGA KELELE KILA MAHALI.TUAMKE USINGIZINI
 
Mbona unapiga kelele bila mpango? Tumia herufi ndogo.
 
UNA KANISA WAPI?UNAJUA UNABII WA AFRIKA KWENYE KITABU CHA ISAYA?umaskn wa afrika ni suala la uongoz mbovu ufisadi na uroho wa madaraka.umaskn wa mtu mmoja mmoja hata usa upo


Hampendi ukweli😁😁😁 sasa ikiwa hizo roho zenu za uroho wa madaraka ,ubinafsi unafikiri km sio laana ni nini.
 
Mama uko sahihi!
Labda mwishoni ungeandika tusingoje Yaliyotokea Burkina Faso na Kenya yatokee Tanzania.
Yatakuwa mabaya!
 
Haya uliyoandika leo,
Kama usingekuwa chawa muda mrefu uliopita ktk maandishi yako yote , nadhani hoja zako zingeleta mabadiliko chanya,

Lakini unachoandika leo UMECHELEWA, mtoto keshaharibika,

Ni kama kumfungulia jini kwenye chupa, keshatoka huyo!! Sasa hata ujitahidi vipi kumrudisha , sasa utaumia wewe,

Undumila kuwili ni mbaya sana, watu walishaona muda muda mrefu yanayotendeka, wewe ulikuwa bado umelala,

Hebu punguza unafiki, na uanze kuandika vitu kama vya leo, na uwezo huo unao
 
Hampendi ukweli😁😁😁 sasa ikiwa hizo roho zenu za uroho wa madaraka ,ubinafsi unafikiri km sio laana ni nini.
Fikra zako zinaonesha kuwa unefikia nwisho wa kufikiri.

Kama, ni "laana" utakuwa ni wewe unayeshindwa kuyageuza matatizo kuwa ni fursa *Resilience".
 


Mimi nimekaa +254 nimekaa +256 nimesomea huko Primary nimeenda SA , n.k

Hizo nchi unzitaja sijui Kama hata umefika na kuishi mfano Kenya

Yaani hamtokaa muone maendeleo yoyote ya maana ktk jangwa la Sahara.

Negativity
Uzinzi
Wizi
Uroho wa madaraka
Ufisadi
Elimu duni na mbovu

Hizo zote nimetafsiri Kama laana nyie sio complete human being ,

Watu wachache ndo huwa wamefanikiwa kujiondoa katika huo mkwamo .

Usitegemee maendeleo yoyote

Spiritual stufss ni mwanzo wa kujitambua kua a complete human being na kuwa na mchango chanya kwa wengine .
 
Hakuna kiroho wala kinini, ni watendaji wabovu na mazowea ya kulinda maovu.

Ni uroho siyo kiroho.
Kumbe huwa unakuaga na akili sometimes Kwa kiwango kidogo, asante kwa bandiko Bora ila umeharibu kumtaja huyo Mama yako kila saaa
 
Mama uko sahihi!
Labda mwishoni ungeandika tusingoje Yaliyotokea Burkina Faso na Kenya yatokee Tanzania.
Yatakuwa mabaya!
Hapana, tujifunze kwa yanayotendeka Burkina Faso hivi sasa.

Reforms ni muhimu kuliko "Revolution".

Mimi naamini jata CCM iondowe neno ", mapinduzi" iweke neno mabadiliko.

Kiwe ni chama cha mabadiliko na siyo cha "mapinduzi".
 
Fikra zako zinaonesha kuwa unefikia nwisho wa kufikiri.

Kama, ni "laana" utakuwa ni wewe unayeshindwa kuyageuza matatizo kuwa ni fursa *Resilience".

Challenge in disguise is an opportunity .

Binafsi MTU mweusi matatizo yake yapo kiakili , na kiroho na haitokaa hafanikiwe miaka 60 ya Uhuru bado katika taarifa ya habari mnazindua matundu ya vyoo? Kidding.
 
Hapana, tujifunze kwa yanayotendeka Burkina Faso hivi sasa.

Reforms ni muhimu kuliko "Revolution".

Mimi naamini jata CCM iondowe neno ", mapinduzi" iweke neno mabadiliko.

Kiwe ni chama cha mabadiliko na siyo cha "mapinduzi".
Uko sahihi!
 
Tupo kwenye right track...kama unaona hauridhiki na nchi inavyoenda hamia Burundi
Kila mmoja na fikra zake, "ukinyewa na mtoto huukati mkono*.
. Burundi haina fursa za kuishinda Tanzania.
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya Uongozi m'bovu na laana!

Matumizi ya hovyo yaondolewe mama aache uvivu aingie site kututumikia
Mbunge anatembelea gari ya million 500+ lenye cc 4600 ambalo baada ya miezi kadhaa analibadilisha ananunua jingine.

Mtu anamiliki mansions ughaibuni na hapa nchini. Anamiliki maelfu ya hekari za ardhi. Familia yake haiishi nchini ipo ughaibuni.

Utitiri wa kodi kila kukicha wanabuni mbinu ya kuendelea kukamua walalahoi na bado mikopo wanazidi kukopa. Deni la taifa linakuwa huku wananchi wakizidi kudidimia kwa utitiri wa kodi.

Na bado hapo hapo viongozi wanakuja na kauli za kejeli na dharau kwa wananchi. Hapo hapo kuna raia baadhi wenye mafuvu yasiyokuwa na kitu ndani yanaimba mapambio kama wendawazimu.

This is a shithole of a country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…