Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

Bajeti kuwa kubwa au ndogo haina uhusiano na nilichoandika kwenye mada.

Labda umefanya uvivu wa kuisoma post #1
TUMIA AKILI .. TATIZO WEWE UJUI CHEO CHA URAIS KINA MAANA GANI. SAMIA ANAKWENDA KUTUMBUKIZA NCHI SHIMONI VERY SOON. KWAKUWA ALICHAGUA KUWAFURAHISHA WAHALIFU NA KUSHIKAMANA NA WAHUNI WA TAIFA NA KUDHARAU MANENO YA NYERERE KUWA IKULU NI MAHALI PATAKATIFU YEYE KAIGEUZA DANGULO YA WAHUNI NA MAFISADI NA RAIA FEKI ...HATA YESU ALIPOKUTA UCHAFU KWENYE HEKALU LA IBADA ALIVUNJA VITU NA KUWAAMBIA WATU WOTE ...IMEANDIKWA NYUMBA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA IBADA ILA NYINYI MMEIGEUZA PANGO LA WANYANG'ANYI NA WAHUNI ...Hapa ndipo alipo feli Samia ....sasa hivi IKULU IMEGEUKA PANGO LA WAHUNI NA WEZI
 
Mifumo ya kutugawa watutawale ndiyoninayotuumiza.

Burkina Faso na jirani zake wanafanya maamuzi magumu ya kuwachana nayo.

Sisi tunangoja nini?
TUANZE KUPIGA KELELE KILA MAHALI.TUAMKE USINGIZINI
 
TUMIA AKILI .. TATIZO WEWE UJUI CHEO CHA URAIS KINA MAANA GANI. SAMIA ANAKWENDA KUTUMBUKIZA NCHI SHIMONI VERY SOON. KWAKUWA ALICHAGUA KUWAFURAHISHA WAHALIFU NA KUSHIKAMANA NA WAHUNI WA TAIFA NA KUDHARAU MANENO YA NYERERE KUWA IKULU NI MAHALI PATAKATIFU YEYE KAIGEUZA DANGULO YA WAHUNI NA MAFISADI NA RAIA FEKI ...HATA YESU ALIPOK7TA UCHAFU KWENYE HEKALU LA IBADA ALIVYONJA VITU NA KUWAAMBIA WATU WOTE ...IMEANDIKWA NYUMBA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA IBADA ILA NYINYI MMEIGEUZA PANGO LA WANYANG'ANYI NA WAHUNI ...Hapa ndipo alipo feli Samia ....sasa hivi IKULU IMEGEUKA PANGO LA WAHUNI NA WEZI
Mbona unapiga kelele bila mpango? Tumia herufi ndogo.
 
UNA KANISA WAPI?UNAJUA UNABII WA AFRIKA KWENYE KITABU CHA ISAYA?umaskn wa afrika ni suala la uongoz mbovu ufisadi na uroho wa madaraka.umaskn wa mtu mmoja mmoja hata usa upo


Hampendi ukweli😁😁😁 sasa ikiwa hizo roho zenu za uroho wa madaraka ,ubinafsi unafikiri km sio laana ni nini.
 
Mama uko sahihi!
Labda mwishoni ungeandika tusingoje Yaliyotokea Burkina Faso na Kenya yatokee Tanzania.
Yatakuwa mabaya!
 
Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia.

Nchi ndogo za magahribi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia serikali.

Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na tusidhani hayajafika Afrika Mashariki, yameshafika. Yanasambaa kama moto wa makumbi.

Leo tunashuhudia Kenya hata Polisi na jeshi hawataki kuhusishwa na siasa na uongozi mbovu.

Tutakopa mpaka lini? Tutaendelea na kila kitu cha uongozi kukifanya siasa mpaka lini?

Tumeshuhudia watu kama Makonda wanaondokana na siasa za kulindana na kuingia kwenye uhalisia wa kumtumikia mwananchi. Naona mawaziri wachache sana wameliona hilo, lakini hawaonekani vilivyo na hawatumii media kuonesha dhahiri shahiri kuwa sasa siyo wakati wa siasa, ni wakati wa vitendo.

Tunataka tuone mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wakiondokana na dhanna ya kujitetea na kutetea ujinga, tunataka tuwaone wakitumikia wananchi muda wote.

Serikali iwachane kabisa na anasa za kijinga za magari ya kifahari kwa kila mkuu wa idara mpaka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya. Hiyo ni dharau kubwa kwa wananchi wanyonge.

Kuna mengi sana ya kurekebisha na waziri wa fedha leo hii anakuja na bajeti ambayo haitekelezeki kwa jinsi fungu kubwa linavyokwenda kwenye matumiazi ya anasa. Anasa ya kwanza inayojionesha wazi wazi ni kwa Mtanzania wa kawaida, ni wakuu wote, kuaniza wa idara mpaka mawaziri kutembelea magari ya anasa ambayo ni mzigo mkubwa kwa nchi ya kimasikini.

Serikali ijirekebishe, tusifikiri sisi ni kisiwa, sisi ni nchi inayopakana na nchi nyingi Afrika. mabadiliko ya mama anayoyataka kwenye R zake nne yawekwe wazi, siyo kutangaza mabadiliko wakati naamini hata mawaziri hawaelewi ni mabadiliko yepi.

Naamini katika watendaji na idara zote za serikali waliyoelewa dhanna ya R nne ni wachache sana. Ofisi ya Rais inayohusika na habari inatakiwa itowe elimu kubwa kwa serikali na wananchi ili wote tuelewe ni kupi, kupatana, kustahamili, kubadilika na kujenga upya kuliko kusudiwa na falsafa ya R nne za mama Samia.

Ukifatilia habari za Burkina Faso kwa sasa, utaona kuwa wanaziishi R nne za mama Samia bila kuwa nazo.
S isi tulionazo tunashindwa kuziishi.
Haya uliyoandika leo,
Kama usingekuwa chawa muda mrefu uliopita ktk maandishi yako yote , nadhani hoja zako zingeleta mabadiliko chanya,

Lakini unachoandika leo UMECHELEWA, mtoto keshaharibika,

Ni kama kumfungulia jini kwenye chupa, keshatoka huyo!! Sasa hata ujitahidi vipi kumrudisha , sasa utaumia wewe,

Undumila kuwili ni mbaya sana, watu walishaona muda muda mrefu yanayotendeka, wewe ulikuwa bado umelala,

Hebu punguza unafiki, na uanze kuandika vitu kama vya leo, na uwezo huo unao
 
Hampendi ukweli😁😁😁 sasa ikiwa hizo roho zenu za uroho wa madaraka ,ubinafsi unafikiri km sio laana ni nini.
Fikra zako zinaonesha kuwa unefikia nwisho wa kufikiri.

Kama, ni "laana" utakuwa ni wewe unayeshindwa kuyageuza matatizo kuwa ni fursa *Resilience".
 
Upumbavu ndio shida yetu ya kwanza huku ya pili ikiwa uongozi m'baya

Unaamini eti laana ndo chanzo cha umaskini Africa/Tanzania

After 5 years waangalie wakenya hatua kubwa ya maendeleo watakayokua wamepiga baada ya kutoka kwenye upumbavu na kupinga uongozi m'bovu

Waafrica wangapi wapo huko abroad mfano Obama Kanye West lakini wana maendeleo na Obama aliweza kuongoza taifa kubwa sababu hana upumbavu kichwani na mfumo wa uongozi bora uliopo Marekani,

kama ni laana basi ingewashika ngozi nyeusi wote walio hadi abroad huko!


Mimi nimekaa +254 nimekaa +256 nimesomea huko Primary nimeenda SA , n.k

Hizo nchi unzitaja sijui Kama hata umefika na kuishi mfano Kenya

Yaani hamtokaa muone maendeleo yoyote ya maana ktk jangwa la Sahara.

Negativity
Uzinzi
Wizi
Uroho wa madaraka
Ufisadi
Elimu duni na mbovu

Hizo zote nimetafsiri Kama laana nyie sio complete human being ,

Watu wachache ndo huwa wamefanikiwa kujiondoa katika huo mkwamo .

Usitegemee maendeleo yoyote

Spiritual stufss ni mwanzo wa kujitambua kua a complete human being na kuwa na mchango chanya kwa wengine .
 
Hakuna kiroho wala kinini, ni watendaji wabovu na mazowea ya kulinda maovu.

Ni uroho siyo kiroho.
Kumbe huwa unakuaga na akili sometimes Kwa kiwango kidogo, asante kwa bandiko Bora ila umeharibu kumtaja huyo Mama yako kila saaa
 
Mama uko sahihi!
Labda mwishoni ungeandika tusingoje Yaliyotokea Burkina Faso na Kenya yatokee Tanzania.
Yatakuwa mabaya!
Hapana, tujifunze kwa yanayotendeka Burkina Faso hivi sasa.

Reforms ni muhimu kuliko "Revolution".

Mimi naamini jata CCM iondowe neno ", mapinduzi" iweke neno mabadiliko.

Kiwe ni chama cha mabadiliko na siyo cha "mapinduzi".
 
Fikra zako zinaonesha kuwa unefikia nwisho wa kufikiri.

Kama, ni "laana" utakuwa ni wewe unayeshindwa kuyageuza matatizo kuwa ni fursa *Resilience".

Challenge in disguise is an opportunity .

Binafsi MTU mweusi matatizo yake yapo kiakili , na kiroho na haitokaa hafanikiwe miaka 60 ya Uhuru bado katika taarifa ya habari mnazindua matundu ya vyoo? Kidding.
 
Hapana, tujifunze kwa yanayotendeka Burkina Faso hivi sasa.

Reforms ni muhimu kuliko "Revolution".

Mimi naamini jata CCM iondowe neno ", mapinduzi" iweke neno mabadiliko.

Kiwe ni chama cha mabadiliko na siyo cha "mapinduzi".
Uko sahihi!
 
Tupo kwenye right track...kama unaona hauridhiki na nchi inavyoenda hamia Burundi
Kila mmoja na fikra zake, "ukinyewa na mtoto huukati mkono*.
. Burundi haina fursa za kuishinda Tanzania.
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya Uongozi m'bovu na laana!

Matumizi ya hovyo yaondolewe mama aache uvivu aingie site kututumikia
Mbunge anatembelea gari ya million 500+ lenye cc 4600 ambalo baada ya miezi kadhaa analibadilisha ananunua jingine.

Mtu anamiliki mansions ughaibuni na hapa nchini. Anamiliki maelfu ya hekari za ardhi. Familia yake haiishi nchini ipo ughaibuni.

Utitiri wa kodi kila kukicha wanabuni mbinu ya kuendelea kukamua walalahoi na bado mikopo wanazidi kukopa. Deni la taifa linakuwa huku wananchi wakizidi kudidimia kwa utitiri wa kodi.

Na bado hapo hapo viongozi wanakuja na kauli za kejeli na dharau kwa wananchi. Hapo hapo kuna raia baadhi wenye mafuvu yasiyokuwa na kitu ndani yanaimba mapambio kama wendawazimu.

This is a shithole of a country.
 
Back
Top Bottom