PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Malizia ni wapumbavu pia, huwezi kuleta ego yako kwenye maisha ya maelfu ya watu waliouawa! Who does that?

Uelewa wa hawa watu ni mdogo sana, wanachulia dhana ya vita na kufananisha na kilichotokea, hata vitani majeshi yakiua civilians unacho cha kujibu sembuse kuua watu wako, raia, wenye haki ya kuexpress anger zao hata kama kwa namna isiyopendeza, wanatakiwa washughulikiwe kisheria sio kwa risasi za moto.
 
Mabalozi wanafuatilia kwa karibu sana kinachoendelea nchini wala hawategemei taarifa za Waziri wa mambo ya nje pekee.

Hiyo tume haiaminiki toka siku wajumbe wanateuliwa na tukaona inapangiwa cha kufanya siku ya uzinduzi wake.
Hiyo paragraph ya kwanza ina prove kuwa wakati wanayafanya yote haya walijua mabalozi watapiga kelele na watawakalisha (kama alivyofanya Kombo) Watawapanga watapangika.

Au mambo yakiharibika zaidi watawapa mgodi mmoja (hili linasemwa semwa si kwa bahati mbaya, ni jambo lililojadiliwa kabla ya yote haya)

Bahati mbaya ni kuwa , kwenye hili hakuna mzungu atapokea rushwa yoyote, ni jambo la kimataifa, na kila taifa lenye weledi linaangalia lisichafuke kwa hili. Mabalozi wanatazamwa na nchi zao, na nchi zinatazamwa na wanachi wao.

Ni rahisi kuhonga kwenye mambo mengine lakini sio vifo vya raia wako kwa maelfu.

Serikali hivi ni kweli hamjielewi, hamshauriki au ndio mmefikia point of no return? Things must fall apart???
 
Sio kwa issue ya kuua watu kwa maelfu.

Neno nchi huru na kutokuingiliwa mambo yenu ya ndani mnalitumia vibaya. Kama ninyi ndio washauri wa viongozi haishangazi kwa hapa mlipolifikisha taifa.

Sasa next step mkamshauri mama yenu mjiondoe kwenye mikataba yote ya kimataifa ya haki za binadamu ili mpate uhuru wa kuwamiminia risasi raia majumbani mwao, hamtaingiliwa… zaidi mtapata nafasi ya kuingilia watu mikund*** kama kawaida yenu.

🚮
 
wewe mbna hujaingiliwa
 
Huyu mzanzibar na akili zake za ku beep anawapa wakati mgumu sana watumishi wa Serikali wanaojitambua. Bora wote wangekuwa mabongolala kama yeye.
 
Hivi hawa watu (serikali) wataendelea kuwa wajinga na wapumbavu hadi lini?

Kwani kuna ugumu gani kuyafanya haya immediately bila kusukumwasukumwa na kutunisha misuli unnecessarily;

1. Kukiri kwa uwazi na kuomba msamaha kuwa, kulitiokea mauaji makubwa 29/10 yaliyofanywa na vyombo vya dola?

2. Kuwawajibisha wote kisheria na kisiasa wote walioshiriki ktk uhalifu ule direct au indirectly?

3. Kukiri kuwa chanzo cha vurugu na mauaji hayo ni uchaguzi usio huru, usio shirikishi, usio wazi na usio wa haki tangu 2019, 2020 na kilele chake 29/10/2025?

4. Kuachia wafungwa wote wa kisiasa hususani Tundu Lissu pamoja kukiacha CHADEMA wafanye kazi yao ya siasa?

5. Kurudiwa kwa uchaguzi wa 29/10/2025 chini ya usimamizi wa wasimamizi walio huru?

#Haya ndio mambo MAKUU yanayotakiwa kufanyiwa kazi sasa na haraka. Huhitaji kuunda Tume kwenye haya kwa sbb kila mtu anajua

#Tatizo la Samia na genge lake la kihuni ni ugumu wa moyo kunakowafanya wawe na kiburi na jeuri ambayo kwa hakika itawapeleka kaburini tu muda si mrefu!!
 
Watakusikiliza sasa ?
 
FAKE
 
Tume ya kuwabwagia mzigo chadema, gwajima na TEC....ile tume ya uchaguzi ina nafuu kuliko hii
 
Mabalozi wanafuatilia kwa karibu sana kinachoendelea nchini wala hawategemei taarifa za Waziri wa mambo ya nje pekee.

Hiyo tume haiaminiki toka siku wajumbe wanateuliwa na tukaona inapangiwa cha kufanya siku ya uzinduzi wake.
Waafrika tupo nyuma sana.
Hivi mpaka leo bado unategemea kuwa Wazungu wana nia ya kukukomboa wewe mtu mweusi.
Machozi yananitoka nikisikiaga maelezo kama yako.
 
wewe mbna hujaingiliwa
See, wapumbavu mnafanya “selective attention” kama makasuku na wenzio wanauliza hilo hilo swali la kijinga “mbona wewe haujauwawa” nani anawafundisha huu upuuzi?

Kwahiyo mnatakaje? tuwaache mfire watu watu wote au muue watu wote? ndipo turuhusiwe kusema?

Intelligent level yako iko chini sana kiasi kwamba mind yako inachojua kufanya ni cherry picking kwenye whole argument.

Ofcoz like maza like sani .
 
ongea vizuri bila machozi
 
Hawajajibu, wanajaribu kujitetea.
D9 tuwaongeze dozi, maccm na mipolusi yao waunde tume nyingine.

Hatuwafahamu na Hatuwatambui na " who are you?."
 
Ukiisoma tu, unaona wamejikunyata! Ile kibri ya nyie ni nani haipo! Wana miaka mitano migumu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…