Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
kiingeleza hiki duh
....... Akina Msukuma, Muliro na Chalamila.Haya mambo yatapita. CCM ina magenius wengi wanaoweza kutuliza huu upepo mbaya.
Upumbavu, hiyo Tume hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuiamini.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025.
Wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 yalifanyika maandamano yaliyozaa vurugu katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mara, Mbeya, Geita, Dodoma, Songwe na Arusha.
Vurugu hizo zilisababisha vifo, majeruhi, uharibifu wa mali za umma na binafsi. Miongoni mwa mali zilizoathirika zaidi ni kuchomwa moto vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, vituo vya mafuta na mabasi yaendayo haraka na nyumba za watu kadhaa.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 5, 2025 na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha wizara hiyo imesema taarifa na matamko hayo yanajumuisha yaliyotolewa na Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ghana, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Slovakia, Hispania, Sweden, Uswisi, Uingereza, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Marekani na Taasisi ya Thabo Mbeki.
Wizara imesema Tanzania imeguswa hususani na maudhui ya matamko hayo, licha ya mazungumzo ya wazi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Balozi Mahmoud Thabit Kombo) na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania, yaliyofanyika Novemba 28, 2025.
Taarifa imesema ingawa inatambua mchango wa jumuiya ya kimataifa katika kukuza demokrasia na maendeleo ya kijamii na kisiasa nchini, ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza ghasia za baada ya uchaguzi na kuwasilisha ripoti.
Wizara imesema matokeo ya ripoti hiyo yataleta uelewa wa matukio yasiyofurahisha yaliyotokea na kuwa msingi wa ushirikiano wa kujenga katika siku za usoni.
“Tanzania itaendelea kuwa na dhamira ya ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo. Inatoa wito kwa wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na mikakati iliyochukuliwa na Serikali,” imesema taarifa hiyo.
kwa sababu waliokua wanashikilia uchumi zamani walikua wachache saaahv diplomasia ni za nchi nyingiIla Tanzania iliathirika sana kiuchumi kama hujui. Hii waga ina gharama na lazima mlie tu. Maskini ni maskini tu huwezi kumuwekea tajiri masharti.
Mbona kinyonge sana...hatujawazoea hivi....ila samuyaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025.
Wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 yalifanyika maandamano yaliyozaa vurugu katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mara, Mbeya, Geita, Dodoma, Songwe na Arusha.
Vurugu hizo zilisababisha vifo, majeruhi, uharibifu wa mali za umma na binafsi. Miongoni mwa mali zilizoathirika zaidi ni kuchomwa moto vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, vituo vya mafuta na mabasi yaendayo haraka na nyumba za watu kadhaa.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 5, 2025 na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha wizara hiyo imesema taarifa na matamko hayo yanajumuisha yaliyotolewa na Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ghana, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Slovakia, Hispania, Sweden, Uswisi, Uingereza, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Marekani na Taasisi ya Thabo Mbeki.
Wizara imesema Tanzania imeguswa hususani na maudhui ya matamko hayo, licha ya mazungumzo ya wazi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Balozi Mahmoud Thabit Kombo) na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania, yaliyofanyika Novemba 28, 2025.
Taarifa imesema ingawa inatambua mchango wa jumuiya ya kimataifa katika kukuza demokrasia na maendeleo ya kijamii na kisiasa nchini, ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza ghasia za baada ya uchaguzi na kuwasilisha ripoti.
Wizara imesema matokeo ya ripoti hiyo yataleta uelewa wa matukio yasiyofurahisha yaliyotokea na kuwa msingi wa ushirikiano wa kujenga katika siku za usoni.
“Tanzania itaendelea kuwa na dhamira ya ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo. Inatoa wito kwa wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na mikakati iliyochukuliwa na Serikali,” imesema taarifa hiyo.
😂😂😂😂Hashindwi kuweka hata emoji kwenye barua huyo Bi chapombe..😂
Umwage damu za maelfu ya watu alsfu lipite?Haya mambo yatapita. CCM ina magenius wengi wanaoweza kutuliza huu upepo mbaya.
Sometimes kumtetea huyu Samia unahitaji roho ya kikatili sanaSi walisema "who are you?" Sasa imekuaje tena
Wamepost kwenye account yao ya InstagramHii Barua mbona kama sio Legit?
Modern taarabuMbona haijaandikwa kwa mipasho?
Mpo madarakani kiharamu.“Tanzania itaendelea kuwa na dhamira ya ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo. Inatoa wito kwa wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na mikakati iliyochukuliwa na Serikali,” imesema taarifa hiyo.
Na ujitoe ufahamu kwanzaSometimes kumtetea huyu Samia unahitaji roho ya kikatili sana
Anafikiri Anafanya mipasho kama kopaKile kimama ni zero brain kikiambiwa na vichaa akina Madelu kinaropoka utafikiri kinachambana na akina Juma nature kwenye mchiriku
Tuna kazi kubwa sana watanzania kuongozwa na huyu kilazaHawawez zijibu kwa kiburi, nyundo ni nzito sana lazima wawe wapole