Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
😂😂 Bi Chaunabe Muoga sanaWanafeli sana..... Wametuzoesha kutupiga mipasho sasa hivi wanajifanya wamestaarabika.... Waendelee tu....
😂😂 Bi Chaunabe Muoga sanaWanafeli sana..... Wametuzoesha kutupiga mipasho sasa hivi wanajifanya wamestaarabika.... Waendelee tu....
Na ndio wanachokuja nacho. Yote hii ni kumuacha Mswahili wa mipasho atuongoze. Anaweka watu wa aina yake. Na wote muelekeo unakuwa mmoja. Wamchukue Kitime, wapambane na Katoliki. Ujinga ujinga tu nchi hii. Hapa mzizi wa tatizo ni huyo bibi na mwanae anayeongoza nchi.Serikali walitakiwa wajitathmini pakubwa sana.
Kitendo cha kujibu Kila mara Kila dakika matamko kutoka sehemu mbalimbali duniani means Kuna kitu hakipo sawa na kinatakiwa kifanyiwe kazi ili nchi irudi kwenye default mode.
Ila kwa jeuri na kiburi serikali umekuwa kama inaona sifa kujibu badala ya kushughlikia haya matatizo ambayo hata mtu wa kawaida tu anaona Tz hii siyo ile tuliyoizoea.
Kesho tunaweza kukuta taarifa nyingine "tunamshikilia padre kitima kwa matamko yake dhidi ya serikali na tanesco".
Ni mwendo wa ubabe na matamko tu!!
Nchi inaongozwa na watu wenye viburi na ego.
Majiniasi wenyewe ndio hao wakina Kikwete n Abdul sio?Haya mambo yatapita. CCM ina magenius wengi wanaoweza kutuliza huu upepo mbaya.
Majiniasi wenyewe ndio hao wakina Kikwete n Abdul sio?Haya mambo yatapita. CCM ina magenius wengi wanaoweza kutuliza huu upepo mbaya.
Sio tu siku ya uzinduzi, hata siku mama yao alipoongea na wazee wa Dar es salaam. Tayari anakomalia waandike anachotaka yeye; nguvu iliyotumika na serikali ilikuwa sahihi kwa sababu wale waandamanaji walikuwa wametumwa na kulipwa (they were hooligans), na lengo lilikuwa baya sana kwa serikali, pia wameishia kuharibu mali za watu, wameua, wamechoma vitu moto, etc. Hawataongelea vifo vyote tunavyovijua, hawatagusia ujinga wa jeshi wala polisi. Pia wataleta story za Tundu Lissu na chama chake na wanaharakati hasa Mange. So serikali ilikuwa na wajibu wa kulinda na kuweka hali sawa. Upumbavu tu.Mabalozi wanafuatilia kwa karibu sana kinachoendelea nchini wala hawategemei taarifa za Waziri wa mambo ya nje pekee.
Hiyo tume haiaminiki toka siku wajumbe wanateuliwa na tukaona inapangiwa cha kufanya siku ya uzinduzi wake.
Mzizi wa tatizo uko hapa. Laiti wangekubali kuwa wananchi wa sasa sio wale waandamanaji 1960s, wangekuwa na mikakati mizuri ya kutuliza hali! Na miaka yooote Watanzania walikuwa wanaelewa kila kitu, sema tu hawakuwa wamefikishwa pabaya sana kama sasa chini ya huyu mama. Sasa ni too much, wamezidi kutuona wajinga. Eti anatakwa asibugudhiwe, aachwe amalize muda wake, huku;Hawa Ccm yaani wanafanya mambo kana kwamba sisi wananchi hatuelewi chochote shuleni tulienda kubembea na kunywa uji tu.
Halafu reasoning yake iko chini sana, eti kiongozi kama humpendi mwache amalize aondoke vumilia tu.... yaani mistreatment tuivumilie mpaka yeye amalize.. Hawazi kwamba kiongozi asiyefaa anatakiwa aondolewe madarakani pindi anaposhindwa bila kujali kama ndo anaanza au anamalizia...Mzizi wa tatizo uko hapa. Laiti wangekubali kuwa wananchi wa sasa sio wale waandamanaji 1960s, wangekuwa na mikakati mizuri ya kutuliza hali! Na miaka yooote Watanzania walikuwa wanaelewa kila kitu, sema tu hawakuwa wamefikishwa pabaya sana kama sasa chini ya huyu mama. Sasa ni too much, wamezidi kutuona wajinga. Eti anatakwa asibugudhiwe, aachwe amalize muda wake, huku;
1. Watu wanatekwa
2. Watu wanauliwa
3. Hakuna haki kwenye vyombo kama mahakama, polisi, Takukuru, etc
4. Ufisadi uliokithiri wa viongozi wa juu including yeye, mtoto wake, Angela Kiziga na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
5. Ubabe, dharau, treatments mbayambaya kwa watu kama kubakwa, uonevu, etc. Zama za unanijua mimi ni nani zimerudi kwa kasi ya hatari
6. Matumizi mabaya ya kiti chake, mfano kuteua ndugu zake, watoto, marafiki, machawa, etc.. Conflict of interest haizingatiwi kabisaa
7. Hakuna maendeleo yoyote tangu aingie ameyafanya /anayaleta (wakina Mkumbo wanaletaga data za kimchongo), kila kitu kimekwama. Mfano tu barabara za Dar es salaam, tangu zifungwe kwa sababu zinatengenezwa mpaka leo hakuna kitu, foleni ndio foleni. Na hizi barabara zilianza wakati wa Magufuli, na angekuwepo zingeshaisha kitambo.
Hivi mtu anaachwaje aendelee tu kwa watu kunyamaza wakati mambo kama hayo wanayaona. Watu wanaona kabisa chini yake tunazidi kudidimia kwenye kila maeneo. Mmmh uwezo wake kwa kweli unafikirisha sana.
Basi hiki ndio kitu ambacho wale mashekh wa BAKWATA na waislamu wengine wa aina yao wanakitaka, wanasema eti kuliacha lipite ndio kurejesha amani.Umwage damu za maelfu ya watu alafu lipite?
Basi hiki ndio kitu ambacho wale mashekh wa BAKWATA na waislamu wengine wa aina yao wanakitaka, wanasema eti kuliacha lipite ndio kurejesha amani.
Uhasama wao na Padri Kitima huko hapa, kwamba kwanini anakaa kukumbushia kumbushia kuhusu vifo vya waandamanaji na wakati watu wameshaanza kusahau.
Sasa wale vilaza wa BAKWATA na washirika wao tayari wameshatafuta scapegoat(ambao ni TEC) kwa lolote baya litakaloitokea serikali hii haramu.Dunia haijawahi waacha salama madikteta walioua watu. Kuanzia Viongozi wa Nazi, Fujimori, Pinocheti, Hadi Milosevic na watu wake.
Napata taabu sana ya watu wanaochanganya kati ya mkopo na msaada. Lakini sishangai, maana kama hujasoma uchumi ndio hayo matokeo yake.Waambie na hawa kwann bado wanategemea misaada ya mabeberu.
Hizo ni hoja zao... kama wadau wanahaki ya kuwakilisha madai hayo. Kibaya zaidi ni kwa mtu mwingine mwenye hoja tofauti kutokwa povu mapaka yakamtoka matus..i. Huwezi kutoa hoja zako bila matus..i? Napata taabu sana nanyi wana/wafuasi TEC. Njoo kiustaarabu, utajibiwa.Sasa wale vilaza wa BAKWATA na washirika wao tayari wameshatafuta scapegoat(ambao ni TEC) kwa lolote baya litakaloitokea serikali hii haramu.
Wanasema eti TEC wanachochea hasira za watu kwa kutoa matamko mfululizo, hawataki kutulia hili taifa lipone.
Na kitendo chao TEC cha kuongelea mara kwa mara mauaji ya wafanya vurugu(kama wanavyowaita wao) ndio kunaibua hata haya mambo mengine kama kunyimwa mikopo na kuwekewa vikwazo.
Ukiwaskiliza hao mashekh ukasoma na comments za wafuasi wao wanasema taifa linayumba na limefika hapa lilipo kwa sababu ya TEC, yaani ni wapumbavu kweli.
Haya uliza sasa hao TEC wamelifikishaje hapa taifa, eti kupitia matamko yao... yaan wapumbavu kweli.
wanmuunga mkono mama.Je jumuiya ya afrika mashariki (EAC) iliafikiana kunyamazia hili swala ama wanamuunga mkono mama?