BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Bado tupo, na msidhani nyie mabeberu mnaweza kuishinda serikali hii tukufu! NEVER!Who are you ?Imeishia wapi?
Serikali tukufu ya mama samia iko ngangari ngunguri katika hili.
Mmetubagaza, mmetubananga na kututindinganya lakini tumebaki imara licha ya vijipesa vyenu.
Benki kuu ina hela nyingi. Hata hivyo tunaweza kuprinti zingine maboksi kwa maboksi ili nchi izidi kuwa TAJIRI.
Mtukome sisi. Tutawabomoa haswa!
Cc: stakehigh gallow bird GENTAMYCINE Lucas Mwashambwa Mshana Jr Yohimbe bark Mbaga Jr Nyani Ngabu Kiranga