PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025.

Wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 yalifanyika maandamano yaliyozaa vurugu katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mara, Mbeya, Geita, Dodoma, Songwe na Arusha.

Vurugu hizo zilisababisha vifo, majeruhi, uharibifu wa mali za umma na binafsi. Miongoni mwa mali zilizoathirika zaidi ni kuchomwa moto vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, vituo vya mafuta na mabasi yaendayo haraka na nyumba za watu kadhaa.

Taarifa iliyotolewa leo Desemba 5, 2025 na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha wizara hiyo imesema taarifa na matamko hayo yanajumuisha yaliyotolewa na Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ghana, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Slovakia, Hispania, Sweden, Uswisi, Uingereza, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Marekani na Taasisi ya Thabo Mbeki.

Wizara imesema Tanzania imeguswa hususani na maudhui ya matamko hayo, licha ya mazungumzo ya wazi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Balozi Mahmoud Thabit Kombo) na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania, yaliyofanyika Novemba 28, 2025.

Taarifa imesema ingawa inatambua mchango wa jumuiya ya kimataifa katika kukuza demokrasia na maendeleo ya kijamii na kisiasa nchini, ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza ghasia za baada ya uchaguzi na kuwasilisha ripoti.

Wizara imesema matokeo ya ripoti hiyo yataleta uelewa wa matukio yasiyofurahisha yaliyotokea na kuwa msingi wa ushirikiano wa kujenga katika siku za usoni.

“Tanzania itaendelea kuwa na dhamira ya ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo. Inatoa wito kwa wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na mikakati iliyochukuliwa na Serikali,” imesema taarifa hiyo.

View: https://x.com/HistoriaYetu/status/1996953814004379930?s=20
 
Mbona hatujasikia tena zile Who are you? Nywinywinywi Mechi ndio kwanza bado ipo first half kazi Munayo
 
ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza ghasia za baada ya uchaguzi na kuwasilisha ripoti.
Huu ni utapeli, dhihaka, hadaa na matumizi mabaya ya pesa za umma. Mtuhumiwa namba moja hawezi kuunda Tume ya Uchunguzi dhidi yake mwenyewe halafu iwe huru
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025.

Wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 yalifanyika maandamano yaliyozaa vurugu katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mara, Mbeya, Geita, Dodoma, Songwe na Arusha.

Vurugu hizo zilisababisha vifo, majeruhi, uharibifu wa mali za umma na binafsi. Miongoni mwa mali zilizoathirika zaidi ni kuchomwa moto vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, vituo vya mafuta na mabasi yaendayo haraka na nyumba za watu kadhaa.

Taarifa iliyotolewa leo Desemba 5, 2025 na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha wizara hiyo imesema taarifa na matamko hayo yanajumuisha yaliyotolewa na Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ghana, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Slovakia, Hispania, Sweden, Uswisi, Uingereza, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Marekani na Taasisi ya Thabo Mbeki.

Wizara imesema Tanzania imeguswa hususani na maudhui ya matamko hayo, licha ya mazungumzo ya wazi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Balozi Mahmoud Thabit Kombo) na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania, yaliyofanyika Novemba 28, 2025.

Taarifa imesema ingawa inatambua mchango wa jumuiya ya kimataifa katika kukuza demokrasia na maendeleo ya kijamii na kisiasa nchini, ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza ghasia za baada ya uchaguzi na kuwasilisha ripoti.

Wizara imesema matokeo ya ripoti hiyo yataleta uelewa wa matukio yasiyofurahisha yaliyotokea na kuwa msingi wa ushirikiano wa kujenga katika siku za usoni.

“Tanzania itaendelea kuwa na dhamira ya ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo. Inatoa wito kwa wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na mikakati iliyochukuliwa na Serikali,” imesema taarifa hiyo.

Their unwillingness to listen to anyone is precisely the reason why they’re in deep shit now. Faki these mazafakas!
 
Kudadeeki na bado!
huyo kombo ni msengelesi sana

Tukutane 9dec road..Muda unakata!
 
Waziri amekosea sana inabidi ajiuzuru ameenda kinyume na msimamo Samia, alitakiwa ajibu 'Who are you?'
 
Wanawewezek
Mlizika watu wanahema, yaani mshayakanyaga tena ya moto moto. Mlizima Internet ili mfanye yenu mkidhani wazungu kujua information za Dunia hii wanatumia hivi vi fibre vyenu ya Voda na Tigo - ha ha ha ha

Pambaneni....
Wameyakanyaga watalombwa sana
 
Back
Top Bottom