Kwa hiyo muda wote huo hawakujua kama halijawa registered au kuna issue nyingine behind the scene?
Waongo. Soma kauli za Mwambene ndio ujue kisa chenyewe. Katika nchi za demokrasia halisi serikali haina mamlaka ya kufungia au kupiga marufuku gazeti lolote. Ni nchi za utawala wa kidikteta tu zinazofanya hivyo. Tanzania tusijidanganye kwamba tuna utawala wa kidemokrasia.
Excuse ya kufungia gazeti inaonyesha jinsi gani serikali ya Tanzania ni kituko.
In other words, they have been in business for 20 years without being registered?
Asilimia kubwa wanaosoma hili gazeti wanaweza kulisoma online ffs.
tatizo ni kuwa na viongozi vilaza na wananchi vilaza. leo wanashangilia kufungiwa hilo gazeti pasipokujua linaweza kupatikana kama mmiliki akiamua. kwani anaweza kuomba kibali kwenye nchi zingine na akahamisha mitambo yake na magazeti yakawa yanaletwa kama bidhaa zingine. lazima tuwe na ufikiri nje ya box miaka 20 gazeti halijasajiliwa, rita wako wapi?tra wako wapi? wizara ya habari iko wapi? kabla ya kulifungia taasisi zote hizo zilitakiwa kushughulikiwa
Mkuu, acha walipeleke gazeti Lao huko sudani ya kusini. Sisi huku atulitaki kabisa, tukiwa na shida nalo tutalifuata online.
Wanahutaji kujifunza kuheshimu Tanzania.
You are part of the problem.Mkuu, acha walipeleke gazeti Lao huko sudani ya kusini. Sisi huku atulitaki kabisa, tukiwa na shida nalo tutalifuata online.
Wanahutaji kujifunza kuheshimu Tanzania.
Wewe ndio tatizo hivyo vi nakala vyao vinavyo hii represent serikari ya Tanzania kama wafu isiyokuwa na weledi kwenye maswala ya EAC na kuzubaa kiuchumi bila ya kujali misingi na protectionism inayofikiliwa na siasa zetu.You are part of the problem.
Hueleweki!Wewe ndio tatizo hivyo vi nakala vyao vinavyo hii represent serikari ya Tanzania kama wafu isiyokuwa na weledi kwenye maswala ya EAC na kuzubaa kiuchumi bila ya kujali misingi na protectionism inayofikiliwa na siasa zetu.
Sasa mtu kama wewe ukitengenezewa nakala yenye stereotype iliyokwisha amuliwa ki agenda only constructed upon opposition politics at times unaweza kuliona gazeti la maana wakati agenda ya wenzako ziko mbali, achilia mbali chuki zao za taifa kikubwa kwenye malengo ya nakala kama hizo ni kuchocchea moto wa kuishinikiza serikari for the wrong reason wakijua wazi hoja za siasa za ndani zi appeal kwa kina nani ndio maana unaweza kuona ni viongozi gani pia ambao wameshatekwa kwa malsahi binafsi.
Nilijua wewe jajusi kweli kumbe mdosho tu.
I cant uncertain that kwa sababu kwa nilichoandika unataka kuelewa natokea wapi kuna maswala ya media institution and representation, media ideology, stereotyping to gain target audience and construction to win appeal of variety ndipo unapotekwa msomaji kama wewe.Hueleweki!
Sio kufungiwa tu bali hata kupelekwa mahakamani.....katuni gani ya kumchora mkuu wa nchi yenye mamlaka yake kamili?
huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa mkuu wa nchi husika na wananchi wake wote ukiwamo wewe unayesoma hapa ....
Utovu wa nidhamu kwa mkuu wa nchi