#COVID19 Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

#COVID19 Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

Uandishi tu wa taarifa hii unaonesha dhamira wala siyo kuhangaika na UVIKO 19 bali ni kuzuia movement kali ya madai ya KATIBA MPYA YA WANANCHI...

Na kuna moja wasilojua ambalo ni kuwa, binadamu hazuiliki kwa makatazo na akili za kibinadamu katika kutekeleza natural rights zao...
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Kutapatapa kwa CCM, wanaogopa vuguvugu la katiba mpya.....
Kupumua kwao wanaona afadhali wamuweke mbowe ndani...maana kuua wanaona litakuwa soo kubwa kitaifa na kimataifa.

Ila wawe tayari kuzima mtandano tena ...maana shughuli ndiyo inaanza rasmi.
 
Watanzania zaidi ya milion 20 wanatafuta Katiba mpya. Sio mbowe tu. Hata Pole Pole Naye tuko Naye Kwa hili Jambo la Katiba mpya
 
Kwa hiyo kule KIGOMA jumapili 25/7/2021 Yanga na Simba haitakuwepo? maana inakusanya watu wengi sana
Corona hii mpya yenyewe inashambukia wana kongamano la katiba tu...mambo ya mpira Covid-19 haisogei... mashabiki jazeni uwanja.

Hiii ndiyo Tanzania na hii ndiyo CCM yetu...hutaki HAMIA Burundi 🇧🇮
 
Ujinga mtupu,sijaona nia ya kupambana na Corona hapo,hii ni hofu ya Katiba mpya tu.
Kama in kweli wafute mechi ya Kigoma tuone
 
Kwa hiyo kule KIGOMA jumapili 25/7/2021 Yanga na Simba haitakuwepo? maana inakusanya watu wengi sana
Tuanzishe kampeni mchezo ufutwe maana Simba yalivyopania, Yanga hapiti. Nao ni mkusanyiko tuupinge
 
Wangekuwa seriously..
au tungeona wa maana.
wangefungia nyumba za ibada
pamoja na kuzuia minada maana huko ndipo kuna mikusanyiko isiyokuwa na utaratibu maalumu.

unazua mikusanyiko huku, dala dala zinafurika.
huku minada (Sagula)
zikishika kasii?

huu utawala umeanza kuonesha makucha yake mapema sanaa.

na wasipokuwa makini utawahi KUISHA mapema zaidii

mikusanyiko isiyo ya lazima, elewa hiyo lugha chief....
 
Tuelewane ilo katazo lisihusu Darby ya Kigoma,waache tulipize kisasi kwa hawa ndezi wa Jangwani.
 
Corona hii mpya yenyewe inashambukia wana kongamano la katiba tu...mambo ya mpira Covid-19 haisogei... mashabiki jazeni uwanja.

Hiii ndiyo Tanzania na hii ndiyo CCM yetu...hutaki HAMIA Burundi 🇧🇮
HAHAHA WE JAMAA
 
Back
Top Bottom