The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kutapatapa kwa CCM, wanaogopa vuguvugu la katiba mpya.....Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli
Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Watanzania zaidi ya milion 20 wanatafuta Katiba mpya. Sio mbowe tu. Hata Pole Pole Naye tuko Naye Kwa hili Jambo la Katiba mpyaKutapatapa kwa CCM, wanaogopa vuguvugu la katiba mpya.....
Kupumua kwao wanaona afadhali wamuweke mbowe ndani...maana kuua wanaona litakuwa soo kubwa kitaifa na kimataifa.
Ila wawe tayari kuzima mtandano tena ...maana shughuli ndiyo inaanza rasmi.
Corona hii mpya yenyewe inashambukia wana kongamano la katiba tu...mambo ya mpira Covid-19 haisogei... mashabiki jazeni uwanja.Kwa hiyo kule KIGOMA jumapili 25/7/2021 Yanga na Simba haitakuwepo? maana inakusanya watu wengi sana
Je brazaj anaafiki mawazo yako?Unafiki mtupu!
Tuanzishe kampeni mchezo ufutwe maana Simba yalivyopania, Yanga hapiti. Nao ni mkusanyiko tuupingeKwa hiyo kule KIGOMA jumapili 25/7/2021 Yanga na Simba haitakuwepo? maana inakusanya watu wengi sana
We unaamini poroja za madalali wa chanjo?Kwahiyo na nyinyi hamuamini kama UVIKO-19 ipo na inaua? Mkuu wenu alizuia watu wasiende kwenye msiba wa kaka yake kwa kisingizio hichohicho.
Wangekuwa seriously..
au tungeona wa maana.
wangefungia nyumba za ibada
pamoja na kuzuia minada maana huko ndipo kuna mikusanyiko isiyokuwa na utaratibu maalumu.
unazua mikusanyiko huku, dala dala zinafurika.
huku minada (Sagula)
zikishika kasii?
huu utawala umeanza kuonesha makucha yake mapema sanaa.
na wasipokuwa makini utawahi KUISHA mapema zaidii
Kigoma Simba na YangaUnafiki mtupu!
HAHAHA WE JAMAACorona hii mpya yenyewe inashambukia wana kongamano la katiba tu...mambo ya mpira Covid-19 haisogei... mashabiki jazeni uwanja.
Hiii ndiyo Tanzania na hii ndiyo CCM yetu...hutaki HAMIA Burundi 🇧🇮
Wataelewa?Tuanzishe kampeni mchezo ufutwe maana Simba yalivyopania, Yanga hapiti. Nao ni mkusanyiko tuupinge