The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hata USA kuna masikini wa kutupwa ila US ndio inaongoza kwa kutoa misaada kwenye nchi zingine,Mahela yanamwagika tu.
Halafu unakuta ni ile mikopo ya juzi tuliyopewa.
Tunajifanya matajiri kumbe tumekopa.
Na wao wanapokea tu.
Tuwaambieni wazikatae maana sisi tunahitaji zaidi kuliko wao.
Ni sawa na mzazi kutoa mchango wa harusi ya mtoto wa jirani kwa kupenda sifa wakati wanae wanalala njaa..
Hakuna nchi iliyomaliza shida zake zote kisha ndio ikasaidia na wengine,msaada ni jambo jema,wema hauozi.