Serikali ya Tanzania yatoa msaada Uturuki

Mahela yanamwagika tu.

Halafu unakuta ni ile mikopo ya juzi tuliyopewa.

Tunajifanya matajiri kumbe tumekopa.

Na wao wanapokea tu.

Tuwaambieni wazikatae maana sisi tunahitaji zaidi kuliko wao.

Ni sawa na mzazi kutoa mchango wa harusi ya mtoto wa jirani kwa kupenda sifa wakati wanae wanalala njaa..
Hata USA kuna masikini wa kutupwa ila US ndio inaongoza kwa kutoa misaada kwenye nchi zingine,

Hakuna nchi iliyomaliza shida zake zote kisha ndio ikasaidia na wengine,msaada ni jambo jema,wema hauozi.
 
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.

Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa malawi [emoji1156] waliokumbwa na Kimbunga kilichosababisha maafa.

Tanzania inarejea enzi za Mwalimu Nyerere ilipokuwa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Afrika.

View attachment 2563172
Jambo zuri sana.Heko kwa Serikali
 
Nchi ya Shobo.

Msaada wa Tanzania kwa Malawi na Uturuki una maana kubwa kwenye diplomasia ni level juu ya Utu na Ubinadamu.

Mama anafanya jambo kubwa ambalo litaacha legacy na litatuongezea marafiki wengi zaidi.
Twende na mama.
 
Hata USA kuna masikini wa kutupwa ila US ndio inaongoza kwa kutoa misaada kwenye nchi zingine,

Hakuna nchi iliyomaliza shida zake zote kisha ndio ikasaidia na wengine,msaada ni jambo jema,wema hauozi.
Mkuu 'Icebreaker', huu mfano siyo sahihi hata kidogo

Hao maskini wa huko ni tofauti sana na wa huku kwetu. Unalinganisha hali mbili tofauti kabisa na katika mazingira ambayo hayafanani kabisa. Mlinganisho huu hauwezekani.
 
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.

Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa malawi [emoji1156] waliokumbwa na Kimbunga kilichosababisha maafa.

Tanzania inarejea enzi za Mwalimu Nyerere ilipokuwa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Afrika.

View attachment 2563172
Hizo ni sehemu ya 10% za SGR!
 
Mkuu 'Icebreaker', huu mfano siyo sahihi hata kidogo

Hao maskini wa huko ni tofauti sana na wa huku kwetu. Unalinganisha hali mbili tofauti kabisa na katika mazingira ambayo hayafanani kabisa. Mlinganisho huu hauwezekani.
US kuna masikini wana hali ngumu sana kama ulikua hujui hilo,kuna wanaolala nje na baridi lote lile,wapo ombaomba kibao tu njiani,acha kusikia yale maneno eti masikini wa US ana nafuu,

Umasikini ni umasikini tu,kuna watu wanakosa mpaka chakula,naongea kwa experience na sio kwa kusikia.
 
Ipitishwe sheria duniani, kuwa kiongozi wa nchi masikini, ni lazima upitie SWAT ya akili kwa muda usiopungua mwaka.

Tanzania hii hii? Kenya tu hapo wamepigwa na ukame, hata mahindi tu tunayolima wenyewe tulishindwa kuwapa! Malawi, Msumbiji, Madagascar, kila leo wanapigwa na majanga asili, tumewahi kufanya lolote kwa kiwango hicho?

Samahani, nimeenda mbali huko nje ya mipaka, kumbe kuna wamasai wametimuliwa kwenye makazi yao huko, ambako pia walikuwa wakinywa maji na mifugo...nakumbuka niliona picha ya madarasa ya udongo jimboni kwa NAPE

Hata baada ya kutawala miaka 60, hakuna hata mkoa mmoja wanaoweza sema wameujenga ukakamilika kwa huduma zote muhimu, HAKUNA.

Bilioni 2.3 kama msaada kwa european country?
Mkuu, binafsi ninakusikia, hasa nikikumbuka magari ya milioni 600 kwa mtu mmoja tu, hapo roho yangu inasononeka sana.
Na haya magofu wanayojengewa hawa watu baada ya kuongoza; hivi kweli hizi pesa haziwezi zikatumika kupunguza baadhi ya hayo uliyotusononesha sisi sote kwa kuyataja?
 
US kuna masikini wana hali ngumu sana kama ulikua hujui hilo,kuna wanaolala nje na baridi lote lile,wapo ombaomba kibao tu njiani,acha kusikia yale maneno eti masikini wa US ana nafuu,

Umasikini ni umasikini tu,kuna watu wanakosa mpaka chakula,naongea kwa experience na sio kwa kusikia.
Mkuu, niamini nisemayo; ninaijua sana hali ya huko siyo kwa kuambiwa au kusoma tu habari zao.

Dah!
Hapo unatisha hasa unaposema "kwa experience na sio kwa kusikia"!

Ina maana unani'sliba' mdomo kabisa nikose la kusema.

Siyo kweli mkuu, labda unalo jingine.
 
Mkuu, niamini nisemayo; ninaijua sana hali ya huko siyo kwa kuambiwa au kusoma tu habari zao.
Unataka nikuamini wewe ila wewe hutaki kuniamini mimi! Haya ni maajabu!

Wewe umejuaje kama mimi naongea yakuambiwa? Nenda North Dakota ukaone makapuku huko.
 
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.

Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa malawi [emoji1156] waliokumbwa na Kimbunga kilichosababisha maafa.

Tanzania inarejea enzi za Mwalimu Nyerere ilipokuwa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Afrika.

View attachment 2563172
Imekopwa ndo ikaenda kutoa msahada.
 
Unataka nikuamini wewe ila wewe hutaki kuniamini mimi! Haya ni maajabu!

Wewe umejuaje kama mimi naongea yakuambiwa? Nenda North Dakota ukaone makapuku huko.
Itakuwa labda tunaongelea mambo tofauti kabisa.
Mimi ninao uhakika kabisa kwamba maskini wa kweli wa Tanzania, siyo sawa na maskini wa 'kujitakia' wa Marekani. Hiyo ndiyo inayoweza kuwa tofauti usiyoiona wewe.
 
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.

Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa malawi [emoji1156] waliokumbwa na Kimbunga kilichosababisha maafa.

Tanzania inarejea enzi za Mwalimu Nyerere ilipokuwa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Afrika.

View attachment 2563172
Daah
Haya bana.
Sisi tuna tetemeko la uchumi na hakuna wa kutusaidia
 
Itakuwa labda tunaongelea mambo tofauti kabisa.
Mimi ninao uhakika kabisa kwamba maskini wa kweli wa Tanzania, siyo sawa na maskini wa 'kujitakia' wa Marekani. Hiyo ndiyo inayoweza kuwa tofauti usiyoiona wewe.
Ngoja nikuache,naona umejikoki kubishana,

Nyie ndio wale wenye misemo sijui eti bora kuzaliwa mnyama Europe/US.
 
Daah
Haya bana.
Sisi tuna tetemeko la uchumi na hakuna wa kutusaidia

Alichokifanya Samia kilifanywa na Nyerere wakati akati huo watu wanapanga Foleni kununua vitu kwenye maduka ya ushirika Tanzania ilikuwa inasaidia mataifa mbalimbali hatuna madarasa na vitu vingine vingi. Tanzania tulitoa misaada kwa mataifa mengi tu, na hiyo ni sera ya Tanzania. tunasaidia tunapoweza.
 
Hata USA kuna masikini wa kutupwa ila US ndio inaongoza kwa kutoa misaada kwenye nchi zingine,

Hakuna nchi iliyomaliza shida zake zote kisha ndio ikasaidia na wengine,msaada ni jambo jema,wema hauozi.
Us anatoa msaada kwa masharti.
 
Back
Top Bottom