Usiogope mzee wa kimasihara, tunae jembe kashika uskani hawamuwezi kwa lolote, kama Corona ilimshindwa hao kina nani.Pagumui sana hapaa! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Umeambia hao watalii wanakuja na KQ kutoka huko kwao?Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Ndege za tz kwenda Kenya walikuwa wanapanda watz peke yao?Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?
Hudhani kuwa kuna wa Tanzania Kibao wata loose katika hilo ?
Au unadhan KQ kuja Bongo hakuna Faida kwa TZ ?
Uganda na Mexico.Ugali mnaokula Nairobi na mombasa unatoka wapi? Subiri jumatatu kibano kina kuja mpaka muombe poo. JK aliwahi kuwapiga pini na KQ mbona mlikimbia faster kuomba poo.
Ndio maana nakwambia, y'all need to go to the drawing board, uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo, na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.
Kwahiyo unadhani TZ haikuchambua kabla ya kuchukua hatua?! Hivi wewe unaionaje TZ...unadhani TZ hawafikiri...subirini muone...hiyo ya KQ ni Cha mtoto...more is to come.Ndio maana nakwambia, y'all need to go to the drawing board, uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them, shida mmepaniki na kuchukulia personal, too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.
Kwani Kabudi anasemaje?
Sijui kama unaelewa KQ ina abiria wengi sana Zanzibar hilo ni pigo kuu tena linaumiza kwa Kenya kuliko Tz kwa sababu Tz haina safari za NBI. Unajua KQ inategemea sana flight za nje sababu kenya haina viwanja vingi kwa ajili ya domestic flights kama Air Tanzania. Hii ni dalili ya kuvunjika tena EAC. TZ iimarishe jumuiya ya SADC Mwalimu aliiona hii hali na pia tukubali COMORO kujiunga na sisi jamhuri ya muungano wa Tanganyika, Zanzibar na Comoro yaani jamhuri ya TANZACOMHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Narudia tena wewe una akili nyingi sana. Uwezo wako wa kuona mbali ni mkubwa sana. You truly deserve to be in this forum
Hizi ni vitu tumezoea kutoka Tanzania kutoka siku za nyerere. Usijifurahishe sana kwa vitu Kenya imezoea kutoka kwa Tanzania. Unadhani GOK haikujua mutafanya hivyo wakisema watanzania wasikubaliwe? Tunajua Kenya itafanya kitu alafu Tanzania ilete vikwazo ambazo ni kelele ya chura, imekuwa hivyo kutoka 1960's.Tulivyoingia uchumi wa kati kiwewe kimewazidi zaidi. Kenya miaka yote inasimamia agenda za Magharibu za kuidhibiti Tanzania. Mwaka huu wamekutana na mtata!
Tungeweza na kuzuia bidhaa zao kuingia huku kwetu ndo wangetambua kwamba soko la Tanzania ni muhimu sana kwa uchumi wao.
Kila duka limejaa bidhaa za Kenya, mpaka viwanda vyetu ninakufa.
Kwani na Kenya si mmejaza makorona pia? Sasa kwanini iwe nongwa TZ wakizuia Kenya kuingia TZ?Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Mara nyingi huwa anatumia mic.Kwani Kabudi anasemaje?
Newton alitaka kubalance! Basi hapa tunabalance!Inabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).
Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.
Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,😁 Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.
Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
Kwani Ni vibaya nchi kuipiga ban Tanzania?Unafahamu kwamba mwanzoni (Orodha ya jana) Tanzania ilikuwemo kwenye orodha ya nchi 11 ambazo ndege zake zilikuwa zinaruhusiwa kutua Kenya?
Hiyo orodha ilitoka jana na leo wamebadilisha na kutoa orodha ingine.
Kwa sababu zipi wamebadili uamuzi wa kuindoa Tanzania kwenye orodha na ni kwanini hawakushariana na upande wetu?
Sasa nani hapa anacheza na uchumi?
Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa,is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.