Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

Kiukweli wapinzan wametuchelewesha mnoo..

Nasema uongo ndugu zangu...
 
Acha utumwa ww... misaada labda kama unataka ww na familia yko... jitu zima na akili zako unafurahia misaada? Tafuta hela, shika jembe ukalime
Mimi ni raia tu nipo huku kwetu koromije navua samaki,
Nyinyi CHAWA wa lumumba naona ndiyo mnasherehekea kupewa msaada na hao MABEBERU .
 
Waliokua MABEBERU katika ubora wao [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Lissu ataumia Sana

Wamemsaliti hawa wabelgiji
 
Hapo huwezi kusikia habari za uchonganishi ,ushoga...

Ila utasikia ni marafiki wetu wa kimaendeleo
 
Lisu Mjnga anakimbia Tanzania kwenda ubelgiji anapishana na maji kutoka ubelgiji yanayokuja Tanzania
 
Acha utumwa ww... misaada labda kama unataka ww na familia yko... jitu zima na akili zako unafurahia misaada? Tafuta hela, shika jembe ukalime
Mwenda zake akirejea atashangaa sana!
 
Tulisema jana tu mabeberu watabaki kua mabeberu, TZ bado maskini hii lazima ipigwe tafu na mabeberu, Misukule wa Lumumba walidanganywa na "Ntu ya dili" eti sie ni "DONA KANTRE"

Lini tuliigawia hata Kenya jirani zetu msaada wa Milioni 100..?![emoji3]
 
Hii account ya pesa za Jumuia ya Ulaya ndiyo ilimtoa roho Lwajabe .
 
Tulisema jana tu mabeberu watabaki kua mabeberu, TZ bado maskini hii lazima ipigwe tafu na mabeberu, Misukule wa Lumumba walidanganywa na "Ntu ya dili" eti sie ni "DONA KANTRE"

Lini tuliigawia hata Kenya jirani zetu msaada wa Milioni 100..?![emoji3]
Uliza Msumbiji walisaidiwa nini walipopata majanga ya mafuriko... acha kujisahaulisha... JPM angekaa mpk 2025 TZ ingekuwa imefikiwa nchi ya uchimi wa kati level ya juu.... pathetic
 
Uliza Msumbiji walisaidiwa nini walipopata majanga ya mafuriko... acha kujisahaulisha... JPM angekaa mpk 2025 TZ ingekuwa imefikiwa nchi ya uchimi wa kati level ya juu.... pathetic
[emoji3][emoji28][emoji28] Bado unaota ww MATAGA..

Kwaio 2025 tungekua DONA KANTRE chini ya "Ntu ya dili" [emoji23]
 
Huu msaada lazima utaunganishwa tu na uwepo wa Tundu Lissu huko Ubelgiji. Utasikia yule MIGA sijui kashindwa kuzuia misaada!!

MATAGA bhana!! 😇

Nawaona kina Tundu na Zito wanavyoumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…