Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Mabeberu Yamepenya Chini Ya Uvungu Wa KitandaDuuu mabeberu hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu Yamepenya Chini Ya Uvungu Wa KitandaDuuu mabeberu hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumechelewa Sana Ndugu ZanguNdio hawa wale waliotuchezea vya kutosha au?
Mimi ni raia tu nipo huku kwetu koromije navua samaki,Acha utumwa ww... misaada labda kama unataka ww na familia yko... jitu zima na akili zako unafurahia misaada? Tafuta hela, shika jembe ukalime
Mnateseka nyinyi MA CHAWA wa lumumbaUnateseka?
Walio tuibia rasilimali zetuNdio hawa wale waliotuchezea vya kutosha au?
Waliokua MABEBERU katika ubora wao [emoji38][emoji38][emoji38]Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Wamepokea pesa ya Mabeberu.Sisi ni doona kantriiiiiii
Mwenda zake akirejea atashangaa sana!Acha utumwa ww... misaada labda kama unataka ww na familia yko... jitu zima na akili zako unafurahia misaada? Tafuta hela, shika jembe ukalime
Tulisema jana tu mabeberu watabaki kua mabeberu, TZ bado maskini hii lazima ipigwe tafu na mabeberu, Misukule wa Lumumba walidanganywa na "Ntu ya dili" eti sie ni "DONA KANTRE"Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Tanzania maskini sana. Hakuna nchi yajiri Duniani. Ambayo wananchi wake bado wanachangia kunywa maji na ng'ombe na vyura.Safi kabisa ..
Hii nchi ni masikini bado inahitaji misaada ..
Tuache jeuri
Uliza Msumbiji walisaidiwa nini walipopata majanga ya mafuriko... acha kujisahaulisha... JPM angekaa mpk 2025 TZ ingekuwa imefikiwa nchi ya uchimi wa kati level ya juu.... patheticTulisema jana tu mabeberu watabaki kua mabeberu, TZ bado maskini hii lazima ipigwe tafu na mabeberu, Misukule wa Lumumba walidanganywa na "Ntu ya dili" eti sie ni "DONA KANTRE"
Lini tuliigawia hata Kenya jirani zetu msaada wa Milioni 100..?![emoji3]
Nyumbu acheni kuteseka na kudakia comments zisizowahusu, inadhirisha venye wewe ndio kunguni wa dikteta mbowe.Mnateseka nyinyi MA CHAWA wa lumumba
[emoji3][emoji28][emoji28] Bado unaota ww MATAGA..Uliza Msumbiji walisaidiwa nini walipopata majanga ya mafuriko... acha kujisahaulisha... JPM angekaa mpk 2025 TZ ingekuwa imefikiwa nchi ya uchimi wa kati level ya juu.... pathetic
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Huu msaada lazima utaunganishwa tu na uwepo wa Tundu Lissu huko Ubelgiji. Utasikia yule MIGA sijui kashindwa kuzuia misaada!!
MATAGA bhana!! 😇