Serikali ya Umoja South Africa: Je Huu Ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa ANC?

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Ni lazima imekuwa hivyo.
ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza.

In fact, the EFF has shown it's willingness to co-govern with the ANC but has demanded the deputy presidency position in exchange for their support.

While the MK Party has said it won’t join an ANC-led coalition if Ramaphosa heads it. The MK also campaigned on a platform that included a rewriting of the constitution – something that the ANC has opposed.

Hata hivyo ndani ya ANC bado kunawaka moto, ikihusisha wale ma-hafidhina (die hards) in fact they see that, the move by the ANC to make a deal with the DA could cause an “internal rebellion”.
“[It would be seen as] going right goes against the liberation movement’s myths and traditions”.

Lakini muungano huu wa Serikali ya mseto (coalition government) ni wa ki-nadharia tu “good on paper,” personaly I don't think if it will work effectively, because South Africa had a fractious society that the ANC kept together for three decades. When it comes to difficult issues like inequality and racism, the two parties are polar opposite sides. Hawa makaburu (DA) bado wana kasumba za kibaguzi.

Lakini tusipige ramli, the coalition agreement is a good thing. It will force the ANC away from the left to the centre and the DA away from the extreme right to the center also, and we might expect a convergence between these two parties.

Tuwatakie kheri jamaa zetu.
 
Hao makabur wamewezaje kuwa chama namba 2 baada ya ANC na wakati wazungu ni wachache sana South Africa? Wamewazije EFF ya Malema?
 
Hapo ndo uone akili za Mzungu.

Kwenye negotiations za kuwakabidhi Weusi nchi mwaka 1994, wazungu walijua tu kuwa kwa kuwa wao population yao ni ndogo, lazima watengeneze mfumo wa kisiasa ambao utawapa chance ya kushika nchi au kuingia madarakani tena one day.

Wakaweka mfumo kuwa Rais hapigiwi kura ya moja kwa moja

Wakaweka mfumo kuwa usipofikisha viti kadhaa basi lazima uunde coalition. Kupitia njia hii wakajua watakuwa na chance ya kuingia ktk serikali, then baadae wataaminiwa na then wanaweza kukubalika polepole kuwa wanafaa kuongoza hata watu weusi ktk serikali mpya
 
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era
 
Hii siyo sahihi.

Walioanzisha civilization ya Egypt ni blacks kwa hiyo hii nadharia siyo sawa.

Kuna vitu tu inabidi tuviweke sawa ili kwenda vizuri
 
NIwakati sasa ANC na DA waungane kiwe chama kimoja kwa maendeleo mapana ya SA na africa kwa ujumla
Ni matusi makubwa mno kwa Nyerere, Kaunda, Samora, Mandela, Mugabe, na wapinga ukaburu duniani kote!

Sipati picha Solomon Mahlangu akifufuka leo itakuwaje? ANC walitakiwa waungane na DA katika mazingira ya kawaida wangeeleweka ila sio kwa kuwa hawana njia mbadala baada ya kushindwa kufikisha idadi ya viti!
 
Back
Top Bottom