white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Haiwezekani!! Hao DA ni wazungu tupu, na hata kura zao zote hupatikana toka sehemu moja tu ya nchi!! Na sera zao bado ni zile za kuwabagua waafrika!! Hapo ANC wamekubali tu ili wapate kumuapisha rais, tu ila huko mbeleni watavulugana sanaNIwakati sasa ANC na DA waungane kiwe chama kimoja kwa maendeleo mapana ya SA na africa kwa ujumla