Jamaa waliona mbali sana,nw wanaenda kufanikisha malengo yao.
I thought ANC angeweza kuunda Serikali. But i think i was wrong kutoona damage ambayo ANC amefanya over the last 30 years.
Kwa mabovu aliyofanya ANC, haswa under Zuma. anahitaji kuwa mpole na kupunguza shutuma na sabotage za Wazungu, kwa kuwa-incorporate kwenye utawala.
SOUTH AFRICA NEEDS TO REORIENT AND UNITE. OTHERWISE ITAPOROMOKA, BEYOND REPAIR.
South Africa ni economy ya 'capital market', na part kubwa ya Stock Exchange iko kwa Wazungu.
Secondly, very few anticipated strong showing ya MK Party.
Na MK Party ni very diversionary kwa South African politics.
Ndiyo Maana Inkatha Party 'amekubali' kuingia kwenye GNU. MK Party atawapoteza sana Wazulu.
Desperate times require desperate measures. ANC had no option.
Na uzuri wa DA, anajijua kuwa Blacks wana ugwadu naye, kwa hiyo hawezi kuwa na ngebe kwenye GNU kama EFF.
DA will be pushing hard for efficiency ili kuwaonyesha Waafrika kuwa they are good economic managers. That is a plus for the economy. Na huenda hata wakasikiliza issue ya land, especially land owned by absentee landlords.
Sema, the beginning is going to be tough kwa ANC. While DA ni chama cha Wazungu, lakini siamini kuwa DA ni ufufuo wa National Party. Lakini DA ina changamoto kujikimu kuishi kama chama cha South Africa, kisicho na ambition za separatism. Otherwise, wakiwa accused of such ambitions, huo unaweza kuwa mwisho wao. Na sasa, itakuwa rahisi hata kuzungumzia issues kama za ORANIA.