Haiwezekani!! Hao DA ni wazungu tupu, na hata kura zao zote hupatikana toka sehemu moja tu ya nchi!! Na sera zao bado ni zile za kuwabagua waafrika!! Hapo ANC wamekubali tu ili wapate kumuapisha rais, tu ila huko mbeleni watavulugana sana