PostGE2025 Serikali yaagiza Kanisa la Gwajima (Ufufuo na Uzima) lifunguliwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii ishu kumbe Iko ivo
 
Huyo ni waziri mkuu wa wapi?

Sheria inasema ili mtu awe waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa sasa huyu alichaguliwa na nani?

Halafu wenye kuona mbali tunajua hapo tactic yao ni wanamtaka Gwajima atoke hadharani wala hakuna kingine.

Maana charge sheet ya kesi uchwara iliyopo mahakamani haihusiani na sababu za hilo kanisa kufungwa bali ilikua ni press ya mwezi May kukemea utekaji.

Gwajima asitokee hadharani kabisa mpaka pale mambo yatakapokuwa shwari baada ya hawa haramu kutoka vinginevyo atajiingiza mtegoni kirahisi.
 
TATIZO UTEKAJI NA MAUAJI YAMEKUWA KERO KWA JAMII.BILA HILI BDO HAJATATUA KERO
Na wakubali kukosolewa:::: all in all tunawataka MLAY, MBISE, CHAULA, MDUDE, LISSU na wote waliopotekwa na kupotezwa warejeshwe wakiwa HAI

Na serikali itoe TAMKO kukomeshwa tabia hii ya ******* ya kutekana tekana.

Kazi ya serikali ni kusimamia na kudumisha HAKI ZA BINADAMU na siyo huu ukiukwaji mkubwa wa HAKI ZA BINADAMU.

Kwa hyo, maandamano ya tarehe 9D hayaepukiki msipoturudishia wapendwa wetu mliowaua MO29 na wote mliowateka 😭😭😭
 
Haiwezi kuwa kwa kauli tu na kirahisi rahisi bila kuona uwajibikaji ndani ya serikali wa waliovunja sheria na kuonea watu bila makosa

Tukiwaacha watu wanaojiita "viongozi wa serikali" wakifanya makosa ya makusudi kwa kuvunja sheria baadaye kujifanya kuyatatua kwa kauli rahisi rahisi za kisiasa wajukwaani, hatutakuwa tunatibu na kutatua matatizo

Tunataka uwajibikaji wa viongozi waliofanya haya kiasi cha kuleta maafa makubwa ya mauaji ya kimbari ktk nchi na taifa letu. Hatutahaidika kwa kauli za kisiasa za majukwaani badala ya watu kuwajibika!!
 
Hii ishu kumbe Iko ivo
Hata issue ya Polisi kuuana kwenye maandamano Mange aliisema leo kesho yake Msigwa akathibitisha. Kuna polisi baada ya kuona wenzao wanamimina risasi Bila huruma waliuana wenyewe kwa wenyewe. Wanajeshi wapo waliouawa lakini idadi sio kubwa. Hii ya kulifungulia Kanisa la Gwajima limeniacha Hoi ni jana usiku tu mtu amerekodi sauti Bila kuonyesha sura leo yametokea. Ni wazi ni mmoja wao lakini anapenda haki.
 
Alirekodi wapi sauti tukam follow? Anaonekana deep state
 
Huo Ndio uzalendo Sasa,
Sio jeuri na kiburi kwa wananchi wako
Ni kweli Inaonekana ni uzalendo.
Ila, kwa wao sirikali ni mafanikio, mtego wao umenasa.

Walichofanya serikal ni kutekeleza nahau isemayo "TENGENEZA TATIZO KWA MTUMWA WAKO KISHA LITATUE, ATAKUSHANGILIA NA KUSAHAU KABISA UBAYA WAKO".
 
PM ataendana kweli na Boss wake??
Ni kama mmoja hakuna neno Msamaha kwenye kamusi yake.
msamaha kwa kosa gani Gwajima alifanya? PM hawezi kufanya jambo lake hayo maelekezo ya Rais
 
Aione Dokta Sulle na baadhi ya masheikh ubwabwa wa BAKWATA
 
Mtego huo kww Gwajima
 
Mwanasiasa analipatia Kanisa msamaha, hahahah. Miungu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…