PostGE2025 Serikali yaagiza Kanisa la Gwajima (Ufufuo na Uzima) lifunguliwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kosa la Gwajima lilikuwa lipi kwani?...
 
..Gwajima alishawaambia funga kanisa hata miaka 1000 lkn utekaji ukome na waliotekwa wawarudishe! kwa hivyo kufungua kanisa kwake hakuna uzito sana kanisa ni jengo ndio maana waumini wanaweza hata kuabudu barabarani km walivyokuwa wakifanya pale walipolifungia kanisa..wao watekeleze yale yalisababisha kanisa wakalifunga!
 
GT
Hatuwezi kuendelea kuishi.gizani mda wa manyanyaso haupo tena
Kama walifunga kanisa kwa uonevu ni hatua gani wamechukua dhidi ya waonevu.

Je na kama walifunga kihalali ni jambo gani limefanyika mpaka kanisa likafunguliwa tena. Haya mambo lazima yawekwe wazi ili watawala.wasiendelee kuwa kuwa miungu watu.

Huyo Hananja anajisikiaje huko aliko
 
Kwa hiyo Gwajima kama Hawezi kuwashinda ajiunge nao

Kama ataendelea kumtanguliza Mungu wake alitemuita ktk hiyo Huduma ya Ufufuo na Uzima basi kufunguliwa kwa KANISA ni TEGO (TRAP) awe Makini sn
 
Kanuni ile ile, Wanatengeneza tatizo leo, Kesho wanalitatua
 
Watoe wasitoe sisi haituhusu wale ni watu haram .... Yaan mmnajua nchi haina kiongozi alie chaguliwa wamejipachika tu acha watoe maagizo pimbi hao
 
Akili ndogo Kuongoza Akili kubwa
Kuptwa kwa Nchi huku
 
Niliona sehemu pia, ila Gwajima si mjinga hatatokea hadi nusu mlingoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…