Wizara ya ardhi na ndio kisheria yana mamlaka ya kutatua migogoro ya ardhi na kutoa maamuzi.
Sio Waziri.
Jambo hili kinanikera kweli kweli. Hajui kwamba humo anamopita yeye yalikuwa ni maeneo ya watu wamejitolea ili watu waweze kupita!Kuna watu wakimiliki kaardhi wanahis kama wamemiliki dunia
Nilijionea nilipofanya kazi kwenye maroli ya mchanga, kuna sehemu mtu anapanga mawe makusudi tu njiani ili msipite.
Zenji si ni inch peke yake ile? AuKazi kwelikweli. Hii nchi ngumu sana 😆 😆
Na huo ndiyo uungwanaMimi ningekuwa ni huyo mwenye ukuta, bila kujali kama mwenye geti aliuziwa bila njia au la, ningemuachia hatua 4 - 5 bure kabisa afanye njia. Na nina uhakika nisingepungukiwa chochote. Lakini huyo ni mimi, wewe unaweza kuwa tofauti.
Inawezekana piaMkuu usikimbilie kulaumu upande mmoja,
Binadamu wana hulka ya dharau na kiburi.
Usikiue huyo mwenye ukuta kafanya jitihada za kuonana na mwenye nyumba, akamfungia tinted.
Basi naye akaamua kumuonesha jeuri yake. Usikute hakuwa hata na mpango wa kujenga huo ukuta ni basi tu ili kuiridhisha ego yake.
Usi
[emoji848][emoji2958][emoji57][emoji19][emoji58][emoji849]Kwa nilivyoiona habari japo hawakwenda kwa undani, inaonekana eneo ni lake ila wananchi walikuwa wanapita (it seem like alikuwa bado hajajenga) na ndio maana wanataka kumfidia kwa maslahi ya wananchi walio wengi.
Kama haikuhusu unaweza chukulia poa ila ngoja yakukute ndo utsjua jamaa aliyejenga ukuta yupo sawaNgozi nyeusi tuna roho mbaya sana..
Sidhani kama mwenye hilo geti alishindwa kuzungumza nae waelewane.
Sasa alaaniwe kwa lipi?? Je unajua chanzo cha yeye kufanya hivooo???!Huyo jamaa aliyejenga ukuta, ana roho mbaya na alifanya hivyo kwa nia ovu, wivu na husda.
Ajilaani mwenyewe kabla hatujamlaani.
Sheria ya mipango miji ndio kaisimamiaWaziri aache mbambamba, sheria ifuate mkondo wake
[emoji23][emoji23][emoji23]Waziri ana deal na issue za balozi nyumba 10?
Hapana bali huyo aliyejenga huku akijua kiwanja chake ni kidogo akataka aachiwe hatua kadhaa. Watu wa hivyo ni wakorofi sana.Huyo jamaa aliyejenga ukuta, ana roho mbaya na alifanya hivyo kwa nia ovu, wivu na husda.
Ajilaani mwenyewe kabla hatujamlaani.