Sasa mwenye geti badala ya kutumia diplomacy nadhani analeta ubabe wa huyo waziri. mahakamani atawashinda labda kwa vile mahakama zetu ni compromised
Wewe unajua mipaka ya hivyo viwanja?Huyo jamaa aliyejenga ukuta, ana roho mbaya na alifanya hivyo kwa nia ovu, wivu na husda.
Ajilaani mwenyewe kabla hatujamlaani.
SIDHANI KAMA ULIVYOSEMA NI SAWA!Boss, ukiwa na kiwanja chako fanya kashughuli ili jamii isitengeneze njia hapo. Ardhi yote ni mali ya serikali boss, ss raia tunakodisha tu ila serikali ina maamuzi ya mwisho.
si rahisi kwani hana ndugu mpaka aombe kwa mbaya wake? hapanakuomba hifadhi kwa huyo huyo jirani..
Hufananii roho mbaya,mwite mzungumze kabla hujaanza ujenziNa Mimi Kuna jirani yangu nataka nimfanyie roho mbaya maana jeuri,Tulivyonunua kiwanja tuliambiwa tuache njia yeye kajenga watu wanapita kwenye eneo langu bado sijabahatika kujenga.
Mkuu unataka kuniambia wewe hapo unapoishi ndugu zako wamekuzunguka kiasi kwamba ukipata tatizo wao ndio watakua karibu? Unless uwe unaishi vijijini, kwa mjini mtu wa karibu ni jirani.si rahisi kwani hana ndugu mpaka aombe kwa mbaya wake? hapana
umesema anaweza akakupa malazi, kwani mjini hatuna ndugu wa tumbo moja, baba mdogo, shangazi, mjomba, rafiki , dada kaka, etc etcMkuu unataka kuniambia wewe hapo unapoishi ndugu zako wamekuzunguka kiasi kwamba ukipata tatizo wao ndio watakua karibu? Unless uwe unaishi vijijini, kwa mjini mtu wa karibu ni jirani.
Sasa kama wewe ndugu zako wapo karibu unadhani na kila mtu ni hivyo hivyo? Mfano: mimi hapa ninapoishi, ndugu yangu wa karibu yupo kilometa 40 kutoka hapa. Kwahiyo unaniambia nikipandisha presha usiku nimpigie yeye mpaka aje kufika si nimeshakufa? Au nyumba ikishika moto, ntatoa vitu nikahifadhi kwa huyo ndugu yangu aliepo km 40 wakati nna majirani tumepakana..umesema anaweza akakupa malazi, kwani mjini hatuna ndugu wa tumbo moja, baba mdogo, shangazi, mjomba, rafiki , dada kaka, etc etc