The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hivi umewah kusikia mashoga wamekamatwa au kuchukuliwa hatua yoyote tangu Samia awe rais? ya kwamba hamna mashoga auNo reforms, na ushoga je????
unaruhusiwa kuwa shoga mkuu ni wewe tuNo reforms, na ushoga je????
Muulize kada wa ccm heri jamesNo reforms, na ushoga je????
Bungeni kwenyewe kuna mishogha ya kiccmNo reforms, na ushoga je????
Kama unataka na wewe kuwa shogaNo reforms, na ushoga je????
Inawezekana uamuzi wackumuachilia huru Mh TAL ulikuwa ufanyike Jana,ila kwasababu taarifa ilivuja kabla wakaona wavunge.Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama hakuna basi aachiliwe.
Mawakili wa upande wa Serikali waliiarifu Mahakama kuwa jalada la kesi hiyo limeshasomwa na kutolewa maoni ya kisheria na sasa lipo tayari kutolewa uamuzi, na wanaomba tarehe nyingine ili uamuzi utolewe.
Wakati wa kesi hiyo Tundu Lissu alitoa maombi mawili.
‘’Mheshimiwa Hakimu, kama upande wa Mashtaka wanao ushahidi wa kutosha, basi wasajili taarifa muhimu Mahakama Kuu ili kesi hii iweze kuhamishiwa huko, au kama hawana ushahidi wa kutosha basi DPP aite Nolle Prosequis kusitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa,’’ Lissu alisema.
Kesi ya Lissu, mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema anashitakiwa kwa kosa la uhaini ambalo halina dhamana na lenye adhabu ya kunyongwa mpaka kufa, imeahirishwa hadi Julai 15, 2025
unaruhusiwa kuwa shoga mkuu ni wewe tu
maana hata ccm hapingi uamuzi wako
No reforms, na ushoga je????
Shoga babayoNo reforms, na ushoga je????
Mmeahamia kwa mashoga, kwanini lakini?Hivi umewah kusikia mashoga wamekamatwa au kuchukuliwa hatua yoyote tangu Samia awe rais? ya kwamba hamna mashoga au
kwamba tukukemee we kujishikiria huweziKemeeni ushoga, na sio kuhalalisha ushoga.
Ushoga ni maamuzi na hamu ya mtuNo reforms, na ushoga je????
Pelekeni muswada bungeni ili mashoga wachukuliwe hatua kali za kisheria tofauti na hapo acheni kutupigia kelele huku katiba inakataza kuingilia uhulu wa faraghaKemeeni ushoga, na sio kuhalalisha ushoga.
Nina hakika wewe utakuwa shogaNo reforms, na ushoga je????
Hivi umewah kusikia mashoga wamekamatwa au kuchukuliwa hatua yoyote tangu Samia awe rais? ya kwamba hamna mashoga au