Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu
Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama hakuna basi aachiliwe.
Mawakili wa upande wa Serikali waliiarifu Mahakama kuwa jalada la kesi hiyo limeshasomwa na kutolewa maoni ya kisheria na sasa lipo tayari kutolewa uamuzi, na wanaomba tarehe nyingine ili uamuzi utolewe.
Wakati wa kesi hiyo Tundu Lissu alitoa maombi mawili.
‘’Mheshimiwa Hakimu, kama upande wa Mashtaka wanao ushahidi wa kutosha, basi wasajili taarifa muhimu Mahakama Kuu ili kesi hii iweze kuhamishiwa huko, au kama hawana ushahidi wa kutosha basi DPP aite Nolle Prosequis kusitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa,’’ Lissu alisema.
Kesi ya Lissu, mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema anashitakiwa kwa kosa la uhaini ambalo halina dhamana na lenye adhabu ya kunyongwa mpaka kufa, imeahirishwa hadi Julai 15, 2025
Unajua kiingereza chenyewe kwanza?!!!!
 
Zote hizo ni njama za kupunguza kasi ya mikutano yake na wamefanikiwa, kwa ule mwendo lisu angekuwa na mikutano Ile tangu kipindi kile Hadi octoba...nadhani wananchi wote wangemuelewa lisu na Wala kusingekaa kimya...lisu hakuna saizi yake hapa nchini...akipita Kila wilaya iliyoko nchini akaiweka mkutano walahi kuna watu wataomba poo!. Wanajua wakimuachia sasa muda utabakia mchache na hataweza kuzunguka nchi nzima Hadi octoba
Liangalie hili linyumbu lilivyo fala, lissu gani wa kuisumbua Tanzania?!!!
 
Sibishani na watoto wadogo
Kama hubishani mbona una lugha za kishamba sana ndugu, ukubwa upi ulionao....toa hoja ieleweke nami nitoe yangu tuone nani mkubwa kichwani, hapa sio ukubwa wa umri....😀..ukubwa wa hoja na unavyozifafania basi
 
Ja
Swali.

Ikiwa DPP ataamua kuitupilia mbali kesi, je, walioifunguwa hawapaswi kufunguliwa kesi ya usumbufu na kudhulmu haki ya mshitakiwa?
Haiwezekani kwa sababu walitumwa na chura. Chura hashitakiwi kwa mujibu WA katiba
 
Kuna nchi fulani sagaji lipo ikulu linataka tena uongozi kwa kutoa makafara ya damu za watu na linaua kwelikweli
Kama ni kidume taja hiyo nchi, nyie ndio walee mkikamatwa mkatoe ushahidi mnajikanyaga, end of the day mnaozea jela.
 
Kama ni kidume taja hiyo nchi, nyie ndio walee mkikamatwa mkatoe ushahidi mnajikanyaga, end of the day mnaozea jela.
We kobaaz mibusha nchi ni Tanzania huyo msagaji wenu hana cha kunitisha.
 
No reforms, na ushoga je????
Kama huyu?!
images (2).jpeg
 
Mna chuki sana kwa waislamu, na ndio maana watu kama wewe kuendelea ni ishu

Sisi waislamu hatujafundishwa chuki
Kobaaz wa mama una laana kweli nilishaendelea kitambo hichoooo au unafikiri kila mtu ni ka wewe wa kupanga foleni leo ijumaa ukiomba kusaidiwa😁😅😆🤣
 
Back
Top Bottom