Nmesoma mada yote ila sijaona taasisi/mtu aliyewaamuru serikali kutoa maamuzi dhidi ya Lissu
 
Evidence ya nini, Jumane Maulid Na Swalehe Khalifani wote wa mwananyamala ni mashoga wa muda mrefu. Hao ni waisilamu.
Sasa unanitajia majina utafikiri nawajua 🤣 weka evidence, Uislamu umekataza huo uchafu, na kama ukikuta muislamu ni shoga basi yeye na nafsi yake, ila usitusemee waislamu wote.

Tukizungumzia ushoga nadhani unajua chimbuko lake ni wapi
 
Umetaka evidence nimekutajia waisilami kadhaa. Kumbe evidence ni lazima wawe waisilamu ulioko nao hapo madrasa! Chimbuko la ushoga ni sodoma na gomora hapo mashariki ya kati.
 
Umetaka evidence nimekutajia waisilami kadhaa. Kumbe evidence ni lazima wawe waisilamu ulioko nao hapo madrasa! Chimbuko la ushoga ni sodoma na gomora hapo mashariki ya kati.

Acha kuongopea kaka, Nenda israel na baadhi ya nchi za magharibi+baadhi ya nchi za kiafrika ndio utakutana na mashoga.
 
Lissu ni International fugure, kwa sababu ya akili zake ana ma diplomasia wengi sana wanamjua huko UN, EU, UK na hata US
Sasa kumuweka ndani kwa kesi ya kumbumba uwe umejipanga ndugu - vilivyo.
Sasa CCM wasidhani wamemuweka mtu ndani kama akina sie Manganga no - hapo kazi ni kubwa.
Ni sawa na kuiba Generator 3 phase la boss wako afu hujui utalipeleka wapi kuliuza inakuwa majuto.
 
Acha kuongopea kaka, Nenda israel na baadhi ya nchi za magharibi+baadhi ya nchi za kiafrika ndio utakutana na mashoga.
Umesema chimbuko, na sio wapi wako wazi kwenye ushoga. Kwa taarifa yako hakuna nchi isiyo na mashoga, tofauti ni nchi kuwa wazi kwenye ukweli huo. Nchi za Magharibi ni wawazi, ila haimaanishi kuwa ndio wenye mashoga wengi.
 
Zote hizo ni njama za kupunguza kasi ya mikutano yake na wamefanikiwa, kwa ule mwendo lisu angekuwa na mikutano Ile tangu kipindi kile Hadi octoba...nadhani wananchi wote wangemuelewa lisu na Wala kusingekaa kimya...lisu hakuna saizi yake hapa nchini...akipita Kila wilaya iliyoko nchini akaiweka mkutano walahi kuna watu wataomba poo!. Wanajua wakimuachia sasa muda utabakia mchache na hataweza kuzunguka nchi nzima Hadi octoba
 
Hivi kama mtu anajiona ana uwezo wa kuongoza, ana kila aina ya ulinzi na anatenda haki na anakubalika kila kona, je ana sababu gani ya kuishi kwa mashaka na kutumia nguvu kubwa hata kuwanyima haki ya kuishi wanaomkosoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…