Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Unajua kiingereza chenyewe kwanza?!!!!Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama hakuna basi aachiliwe.
Mawakili wa upande wa Serikali waliiarifu Mahakama kuwa jalada la kesi hiyo limeshasomwa na kutolewa maoni ya kisheria na sasa lipo tayari kutolewa uamuzi, na wanaomba tarehe nyingine ili uamuzi utolewe.
Wakati wa kesi hiyo Tundu Lissu alitoa maombi mawili.
‘’Mheshimiwa Hakimu, kama upande wa Mashtaka wanao ushahidi wa kutosha, basi wasajili taarifa muhimu Mahakama Kuu ili kesi hii iweze kuhamishiwa huko, au kama hawana ushahidi wa kutosha basi DPP aite Nolle Prosequis kusitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa,’’ Lissu alisema.
Kesi ya Lissu, mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema anashitakiwa kwa kosa la uhaini ambalo halina dhamana na lenye adhabu ya kunyongwa mpaka kufa, imeahirishwa hadi Julai 15, 2025
Liangalie hili linyumbu lilivyo fala, lissu gani wa kuisumbua Tanzania?!!!Zote hizo ni njama za kupunguza kasi ya mikutano yake na wamefanikiwa, kwa ule mwendo lisu angekuwa na mikutano Ile tangu kipindi kile Hadi octoba...nadhani wananchi wote wangemuelewa lisu na Wala kusingekaa kimya...lisu hakuna saizi yake hapa nchini...akipita Kila wilaya iliyoko nchini akaiweka mkutano walahi kuna watu wataomba poo!. Wanajua wakimuachia sasa muda utabakia mchache na hataweza kuzunguka nchi nzima Hadi octoba
Tunaangalia matendo unayomtendea, tunajua humuwez unafanya kujificha kwa tuta la karanga💪🤪🤪Liangalie hili linyumbu lilivyo fala, lissu gani wa kuisumbua Tanzania?!!!
Sibishani na watoto wadogoTunaangalia matendo unayomtendea, tunajua humuwez unafanya kujificha kwa tuta la karanga💪🤪
Kama hubishani mbona una lugha za kishamba sana ndugu, ukubwa upi ulionao....toa hoja ieleweke nami nitoe yangu tuone nani mkubwa kichwani, hapa sio ukubwa wa umri....😀..ukubwa wa hoja na unavyozifafania basiSibishani na watoto wadogo
Haiwezekani kwa sababu walitumwa na chura. Chura hashitakiwi kwa mujibu WA katibaSwali.
Ikiwa DPP ataamua kuitupilia mbali kesi, je, walioifunguwa hawapaswi kufunguliwa kesi ya usumbufu na kudhulmu haki ya mshitakiwa?
Mahakamani na Hakimu Franco Kiswaga!Ime amriwa na nani wafanye haraka maamuzi
Kama ni kidume taja hiyo nchi, nyie ndio walee mkikamatwa mkatoe ushahidi mnajikanyaga, end of the day mnaozea jela.Kuna nchi fulani sagaji lipo ikulu linataka tena uongozi kwa kutoa makafara ya damu za watu na linaua kwelikweli
We kobaaz mibusha nchi ni Tanzania huyo msagaji wenu hana cha kunitisha.Kama ni kidume taja hiyo nchi, nyie ndio walee mkikamatwa mkatoe ushahidi mnajikanyaga, end of the day mnaozea jela.
Mimi ni mbara na sio mzanzibari, ila wale ni ndugu zanguWe kobaaz mibusha nchi ni Tanzania huyo msagaji wenu hana cha kunitisha.
sawa kobaaz wa mamaMimi ni mbara na sio mzanzibari, ila wale ni ndugu zangu
sawa kobaaz wa mama
Kobaaz wa mama una laana kweli nilishaendelea kitambo hichoooo au unafikiri kila mtu ni ka wewe wa kupanga foleni leo ijumaa ukiomba kusaidiwa😁😅😆🤣Mna chuki sana kwa waislamu, na ndio maana watu kama wewe kuendelea ni ishu
Sisi waislamu hatujafundishwa chuki
Shoga wa mama huyo tena zenji kabisa hiiKama huyu?!
View attachment 3393645