wizi kila sehemu mpaka bank zinaibia wateja sana tu kimya kimya hata kuangalia salio lako tu kwenye App wanakuzibia kufungua unakatwa, ukituma pesa unapata msg tu umetoa au umeingiza kiasi gani hawakwambii balance ngapi muhimu wizi kila sehemu hata hujui ukimbilie wapi. Sina shida na serikali kukusanya kodi ila shida huduma za hizi bank pesa yako lakini wanakunyonya maana kama gharama za Maint wanakukata sasa hata kujuwa balance zako makato?