Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

wizi kila sehemu mpaka bank zinaibia wateja sana tu kimya kimya hata kuangalia salio lako tu kwenye App wanakuzibia kufungua unakatwa, ukituma pesa unapata msg tu umetoa au umeingiza kiasi gani hawakwambii balance ngapi muhimu wizi kila sehemu hata hujui ukimbilie wapi. Sina shida na serikali kukusanya kodi ila shida huduma za hizi bank pesa yako lakini wanakunyonya maana kama gharama za Maint wanakukata sasa hata kujuwa balance zako makato?
 
yani haya yote hayawezi kubadilika kama Mwigulu bado yupo palee... mama aanze upyaa kwenye wizara ya fedha hata kama analipa fadhilaa huu ni upuuzi huwezi kuwa na waziri yeye kazi yake kukwapua hela kwa kutumia KODI ZA OVYOO kila sikuuu... kuna siku hadi makanisa yatatozwa kodi kwenye sadaka tunazotoa
 
Dah Mkuu, punguza ukali wa maneno maana hujafa hujaumbika!
 
Kama hizo tozo zinafanya kitu cha maana mbona KUKOPA HAKUISHII??? Mbona tunakopa kuliko hata kipindi hizi tozo hazikuwepo?? magu angekuwa anakopa hivi sawa...tumbili kabisa
 
Kwani pesa zetu kukaa bank hazikatwi service charges?
Tozo ya nini kwa raia wenye kipato duni?

Mzigo wa kodi na bado zinatungwa sheria kukwapua kidogo unachobakinacho. State bulgary
Ungekuwa na kipato duni usingefungua account bank
 
Huyu mrugaruga wa kinyiramba arudi kwao porini. Hii nchi muda sasa umefika nshomile tuiongoze, tutaleta mabadiliko ya kweli.
 
Katika hizo kodi/tozo umechangia TZS ngapi???
Hana jibu..mwambie alinganishe Makati yake ya mwaka mzima wa transactions kama yatafikia elfu 20,000 ya Kitambuliwho cha Machinga..

Hawa hua ni punguani fulani..Kwa serikali it bears yields kwa sababu inakusanya watu wengi lakini Kwa individual ni insignificant.
 
Ukitoa kwa wakala makato (serikali + bank +wakala) yaani ni hatari sn
... the worst case ni kuvuta hela yako kutoka benki ikaingia kwenye mobile-money then ikaenda kutolewa kwa wakala kwa wale wavivu wa kwenda ATM; utalizwa hadi ukome. Makato yatakuwa hivi kwa mfano wa Tigo-Pesa;

Bank ==> Serikali ==> Tigo-Pesa ==> Serikali ==> Wakala ==> Serikali ==> Wewe!

Pesa yako hiyo! Nilikuwa na huu mchezo sirudii tena.
 
Wananchi: Tuna njaa
Mfalme: Kuleni mikate......


Ndo majibu yako. Ushalewa madaraka na damu za kafara sasa unatiririka huku ukiuweka lock ubongo wako
Hakuna mwananchi mwenye njaa akawa na account bank,hayupo..

Kama ni kelele zilizidi mwaka Jana walioandisha tozo ya miamala tena pesa ilikuwa kubwa mara mbili ya hii ya baks ila sasa matokeo yake yakawa hivi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-154052.png
    48.3 KB · Views: 6
sasa hiyo reli imeanza kujengwa jana??? hizo ndege mama kanunua ngapi?? wee jamaa hujitambui kabisaa
Wewe na elimu uliyonayo kidogo, hujiulizi hao walimu uliopita kwenye mikono yao walikuiwa wanajitolea bure???
Madarasa uliyotumia yalikuwa ni hisani?
Maji ya bomba unayotumia miundo mbinu yake ni hisani?
Miundo mbinu ya umeme unayotumia ni hisani???
Amani uliyonayo leo mpaka unapata muda wa kutype ujinga hapa ni hisani? polisi/ jeshi nani akulipie huduma yao????
 
sasa hiyo reli imeanza kujengwa jana??? hizo ndege mama kanunua ngapi?? wee jamaa hujitambui kabisaa
Wacha utahira watu wanaongezeka na huduma haziongezeki mpaka ziongezwe.

Kujengwa kwa madarasa 15,000/- kwa wakati mmoja hakumalizi tatizo la madarasa nchi nzima, bado yatahitajika tu ili mradi watu wanaendelea kuzaana, miundo mbinu ya barabara, maji, umeme, vituo vya afya hivyo hivyo.

Kama wewe una bahati ya kuishi sehemu yenye huduma zote, serikali inapambana kuhakikisha na ambao hawajabahatika kupata hizo huduma wanazipata, na wenye huduma duni wanaboreshewa.

As long as kodi na tozo zinasaidia watanzania wenzangu, nitalipa kodi kwa ufahari kabisa bila kinyongo.
 
Unatetea ujinga kwa malipo ya kuliwa tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…