NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
mwigulu atazungumza na waziri wa ardhi watafute namna ya kuweka kodi/tozo ya kulipia mashimo yanayochimbwa ndani ya nyumba za watu binafsi.Tunarudi kuzichimbia chini! Mje na huku![emoji1787]
Bank makato yao yapo kama kawaida,Yaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)
Ni shidaa
Na wewe ukipata chance piga,usije kujifanya mzalendo sana wenzako hawavungi wanazitumbua hasa!Tunapenda kulipa kodi lakini tatizo sisiemu ni wezi
Na zikiwa huko kuna makato ya kila mweziHapo dawa ni kuacha tu pesa zikae huko Bank bila kutoa
Unajua kwa nini watu hawalipi kodi Mkuu? ni kwa sababu ya mlundikano wa kodi. Mfano; Mtu mwenye Duka la Rejareja anatakiwa kulipa kodi zifuatazo:Wanashindwa ubunifu kwenye kukusanya kodi wanakamua walipa kodi wale wale , kwa mfano maduka mengi ya mitaani hayalipi kodi kwa sababu kodi zaidi rafiki .
Na kwa sababu TRA wanapitaga mwezi wa saba tu maduka ufungwa mchana TRA wakipita maduka yanafunguliwa .
Issue hapo ni kufanya centralization kuanzia serikali ya mitaa kusajili wauza maduka kupitia afisa biashara wa kata husika . Pia kodi iwe rafiki hata ikibidi iwe flat rate kwa mfano (200,000/-) kwa mwaka kila quarter 50k . Wakiwa centralized unatumia control namba analipa moja kwa moja .
Maana kuwakwepa TRA ni kufunga duka siku za msako lakini wakifanya kutoa elimu na kuweka kodi rafiki watakusanya sana .
Hata kwenye simu sikuhizi miamala imepungua.Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!
Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
Is too much nowKodi ni lazima
Naziweka rehani!Zichimbie mkuu watakuja kuchukua zote wazee wa kazi, kwa hiyo uchague moja zikatwe au uziweke rehani.....
Natengeneza choo Cha ndani Cha geresha na kinakuwa na shimo lake special, nakuwa natumbukiza Hela tu!mwigulu atazungumza na waziri wa ardhi watafute namna ya kuweka kodi/tozo ya kulipia mashimo yanayochimbwa ndani ya nyumba za watu binafsi.
itaundwa taskforce ya kupita nyumba kwa nyumba kukagua mashimo yaliyochimbwa kiholela bila kibali cha wizara husika.
HahahahahaNatengeneza choo Cha ndani Cha geresha na kinakuwa na shimo lake special,nakuwa natumbukiza Hela tu!
Tozo ni lazima, hutaki andamana
Wameishiwa mbinu.Aisee jamaa hawana namna nyingine ya kuendesha serikali mpaka watukamue namna hii?