Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Naona wameona chance ya kurudi 2025 ni ndogo wanatuminya ili wajilimbikizie fedha kabisa
 
Ndugu zangu hali si hali kwa mimi tajiri nayeanza kugawa mshahara wangu kabla sijaushika na itabidi niachane na chai ya asubuhi.

Ni mimi wenu tajiri masikini mgawa pesa.
 
Jamaa wanakaba kila kona kuhakikisha pesa zinapigwa, bahati mbaya pesa wanaenda kulipana posho tupu
 
Kwanza imechelewa maana ilikuwa ianze mwaka wa Fedha uliopita ila haikuanza..

Lipa Kodi Mzee kwani kwenye miamala ya simu ilivyowekwa umeleta madhara gani?
 
Kila hatua lazima ulipe Kodi..Hamia ambako hakuna wapumbavu
 
Kwanza imechelewa maana ilikuwa ianze mwaka wa Fedha uliopita ila haikuanza..

Lipa Kodi Mzee kwani kwenye miamala ya simu ilivyowekwa umeleta madhara gani?
Wewe chawa acha upumbavu!

Waonee huruma ukoo wako wanaoliwa na umasikini kule kijijini!

Huoni aibu kutetea upumbavu kama huu?
 
... inaumiza sana! Hizo PAYE waajiriwa wanazolipa tayari ni kodi; kodi nyingine inakuwa imposed kwa mlango wa uani kwa kivuli cha tozo kwenye kuchukua mshahara ule ule ambao ulishalipiwa kodi.

Na huo mshahara ukichukua kidogo kidogo utalipa tozo hadi ukome; bora kuchukua wote kwa mkupuo kupunguza mitozo.
 
Transactions zitapungua na uchumi utadorora
πŸ˜†πŸ˜† Haya maneno ya kijinga mliwahi sema hata kwenye tozo za miamala ya simu.. Uchumi sio hisia ni hesabu..

Matokeo yake yakawa hivi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-154358.png
    58.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220719-154324.png
    105.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220628-202235.png
    165.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220521-213837.png
    129.5 KB · Views: 7
Kila hatua lazima ulipe Kodi..Hamia ambako hakuna wapumbavu
Yeye analipa hiyo kodi? bwege wewe. Alipe kodi kwanza ya mshara wa ubunge, posho, mafuta. Alipe hata kodi mpaka hizo rushwa wanazobeba kila kukicha, makodi lukuki lakini hata kujenga matundu ya vyoo tumesubiri hela za uviko. Mbona kila siku wanakopa mabilion ya dola hizi kodi zinafanya nini? Subiri Srilanka hiyo
 
Wewe chawa acha upumbavu!

Waonee huruma ukoo wako wanaoliwa na umasikini kule kijijini!

Huoni aibu kutetea upumbavu kama huu?
Mpumbavu ni wewe,siwezi onea huruma ya buku 2 wakati hawana Maji fala wewe..

Mwaka huu Serikali inaanza kutoa ruzuku ya Mbolea unadhani utakunya mavi yako ndio yatumike?

Lazima vihela vidogo vidogo mtakavyokata ndio vikawape nafuu ya kununua Mbolea..Hii ndio huruma yenye tija sio upumbavu wako unaousemea..

Kutokana na tozo tumepata vituo vya afya maeneo yetu unadhani ni sawa na kama visingekuwepo tutumie maelfu ya hela kufuata huduma mbali? Acha ujinga wewe mburula short sighted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…