Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanakaba kila kona kuhakikisha pesa zinapigwa, bahati mbaya pesa wanaenda kulipana posho tupuSheria ni mpya na imekuja kuwaumiza zaidi wale wanaofanya transactions za viwango vya chini.
Kutoka kwenye lile jedwali, nimeona watakaoumia ni wale watakaotuma au kutoa kuanzia shilingi 5000/= mpaka 30,000/=
Mfano, kutoka shilingi 10,000/= mpaka 14,999/= wanakata.
Lakini pia, kutoka shilingi 15,000/= mpaka 19,999/= napo wanakata, wamefanya hivi makusudi wakijua watanzania wengi hivi ndivyo viwango vyao vya kutoa na kupokea pesa.
Hali ni tofauti kwa yule atakayetoa mfano kuanzia 100,000 -200,000/= huyu atakatwa mara moja pekee, wamefanya hivi wakijua hawa ni wachache na wanaojiweza.
Kwanza imechelewa maana ilikuwa ianze mwaka wa Fedha uliopita ila haikuanza..Kuna hii sheria ya miamala ya kieletroniki inayoanza kutumika July 01,2022.
Kuna mkanganyiko wa mjadala hapa JF.
Kuna watu wanasema hii ni tozo mpya haikuwepo kabisa.
Kuna watu wanasema ni tozo ambayo inaenda kugusa Transaction mpaka za ATMs.
Tujadili miamala na maeneo ambayo hizi tozo zitagusa kwa mujibu wa sheria mpya.
Sheria imeambatanishwaView attachment 2299324
Kama Waziri wa fedha anaandika jina lake kwenye mawe nchi nzima, huyo atakuwa na akili kweli?Hii nchi tangu uhuru haijawahi kuwa na Waziri wa fedha wa hovyo kama huyu
Kila hatua lazima ulipe Kodi..Hamia ambako hakuna wapumbavuSijawahi ona nchi yenye viongozi wapumbavu kama Tanzania, nimefanya kazi
Nchi hii ina viongozi wapumbavu sana, nimefanya kazi nimelipwa mshahara umekatwa kodi, naenda kuchukuwa kilichobaki unanikata kodi, nikija ku fanya manunuzi kodi, nikitaka kumtumia mzazi wangu hela ya kula kodi. Nimefanya biashara nimelipa kodi, nasema kuna balance ngoja nikahifadhi benki siku nikienda kutoa kodi, benki nao wanataka service charge
Wewe chawa acha upumbavu!Kwanza imechelewa maana ilikuwa ianze mwaka wa Fedha uliopita ila haikuanza..
Lipa Kodi Mzee kwani kwenye miamala ya simu ilivyowekwa umeleta madhara gani?
Hili ni janga kwa nchiKama Waziri wa fedha anaandika jina lake kwenye mawe nchi nzima, huyo atakuwa na akili kweli?
Tofautisha kodi na tozo
😆😆 Haya maneno ya kijinga mliwahi sema hata kwenye tozo za miamala ya simu.. Uchumi sio hisia ni hesabu..Transactions zitapungua na uchumi utadorora
Hakuna kitu kama hicho ni public notesHivi hilo gazeti la Serikali huwaga linauzwa wapi?
Yeye analipa hiyo kodi? bwege wewe. Alipe kodi kwanza ya mshara wa ubunge, posho, mafuta. Alipe hata kodi mpaka hizo rushwa wanazobeba kila kukicha, makodi lukuki lakini hata kujenga matundu ya vyoo tumesubiri hela za uviko. Mbona kila siku wanakopa mabilion ya dola hizi kodi zinafanya nini? Subiri Srilanka hiyoKila hatua lazima ulipe Kodi..Hamia ambako hakuna wapumbavu
Mpumbavu ni wewe,siwezi onea huruma ya buku 2 wakati hawana Maji fala wewe..Wewe chawa acha upumbavu!
Waonee huruma ukoo wako wanaoliwa na umasikini kule kijijini!
Huoni aibu kutetea upumbavu kama huu?