The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa hiyo yeye hatumii hizo huduma au? Vya kwake vinashushwa na mvua au? Usiwe mjinga.Yeye analipa hiyo kodi? bwege wewe. Alipe kodi kwanza ya mshara wa ubunge, posho, mafuta. Alipe hata kodi mpaka hizo rushwa wanazobeba kila kukicha, makodi lukuki lakini hata kujenga matundu ya vyoo tumesubiri hela za uviko. Mbona kila siku wanakopa mabilion ya dola hizi kodi zinafanya nini? Subiri Srilanka hiyo
Wewe ni chawa mpumbavu zaidi hapa jukwani na kila mtu anakujua!Mpumbavu ni wewe,siwezi onea huruma ya buku 2 wakati hawana Maji fala wewe..
Mwaka huu Serikali inaanza kutoa ruzuku ya Mbolea unadhani utakunya mavi yako ndio yatumike?
Lazima vihela vidogo vidogo mtakavyokata ndio vikawape nafuu ya kununua Mbolea..Hii ndio huruma yenye tija sio upumbavu wako unaousemea..
Kutokana na tozo tumepata vituo vya afya maeneo yetu unadhani ni sawa na kama visingekuwepo tutumie maelfu ya hela kufuata huduma mbali? Acha ujinga wewe mburula short sighted.
Kwani kuna malipo yasiyokatwa Kodi? Pesa zao wanapewa cash mkononi?wabunge nao wakatwe kodi
Alaa kwa hiyo watakaoshinda 2025 wao hawatahitaki Kodi sio?Naona wameona chance ya kurudi 2025 ni ndogo wanatuminya ili wajilimbikizie fedha kabisa
Kama unajua hivyo Kwa nini u transact mara Kwa mara Kwa hivyo vihela?Sheria ni mpya na imekuja kuwaumiza zaidi wale wanaofanya transactions za viwango vya chini.
Kutoka kwenye lile jedwali, nimeona watakaoumia ni wale watakaotuma au kutoa kuanzia shilingi 5000/= mpaka 30,000/=
Mfano, kutoka shilingi 10,000/= mpaka 14,999/= wanakata.
Lakini pia, kutoka shilingi 15,000/= mpaka 19,999/= napo wanakata, wamefanya hivi makusudi wakijua watanzania wengi hivi ndivyo viwango vyao vya kutoa na kupokea pesa.
Hali ni tofauti kwa yule atakayetoa mfano kuanzia 100,000 -200,000/= huyu atakatwa mara moja pekee, wamefanya hivi wakijua hawa ni wachache na wanaojiweza.
Harafu akawa anawalipisha elfu 20 kwa kununua kitambuliwho feki na yeye akizipiga hizo pesa 😆😆..Hizi ndo kodi marehemu aliziita ni za kipu...mb..vu
Umewahi ona wapi sh.100 ikitoka ATM? Wewe ndio juha na hata huelewi logic yake..Kumtoza kodi anayetoa sh 100/= ni ulafi na ujuha.
Mil.2 Kwa buku 8 kuna shida gani? Mbona kwenye salary increase wakisema waongese elfu 10 mnatukana kwamba haina maana ila hiyo hiyo ikikatwa mnapanua Domo lenu?Kwa kuwa wafanyakazi wote wanachukulia mishahara benki, maana yake wameongezewa kodi. Ile PAYE waliodaiwa kupunguziwa sasa wanailipa indirectly kupitia benki. Kwa wastani mfanyakazi anayelipwa net salary shilingi milioni mbili atakatwa benki sh. 8,160 kwa sababu arachukua katika ATM mara tano maana ATM zinatoa hela maximum shilingi laki nne. Kumbuka pia kila ukitoa hela kwq ATM benki nao wanakata jana shilingi 1,500 hivyo mfanyakazi kuchukua milioni mbili atakatwa jumla 15, 660 hivi.
Ni heri kodi ya PAYE ingebakia lilivyokuwa lakini kodi za ATM zisingekuwepo.
Watakuita chawa 🤣🤣Hamna namna yani ni kama wewe unavyopambana kujenga nyumba yako, ukope, uibe, ukate mshahara wa dada wa kazi au usilipe kabisa, uue, ukimbie madeni n.k ndivyo wanaoongoza nchi nao wanaona hivyo...ni kwa faida yetu watanzania hata hata hivyo nchi za ulaya watu wanakatwa mpaka 40% ya mshahara, halafu zinaletwa huku kama Aid, lakini haikuzuii kuhonga
Idara ya habari MAELEZOHivi hilo gazeti la Serikali huwaga linauzwa wapi?
soon zitakuja kodi za
1. Kutembea usk
2. kuvaa kofia, tai
3. Kuvaa miwani
4. Kushangilia kwa sauti
5. Kodi ya kuoga wakati wa joto
6. Kodi ya kutokuoga wakati wa baridi etc
Naskia lipo kweli na linatokaga mara moja kwa mwezi, ila ndo sijajua linapatikana wapiHakuna kitu kama hicho ni public notes
Hayo MAGEUZI hayakuwepo kabla ya TOZO?Tozo za miamala tumeona zilivyoleta mageuzi.
Kodi zina utaratibu wake wewe kibwengo. Huo utaratibu unaitwa KANUNI ZA UTOZAJI WA KODI.Kila hatua lazima ulipe Kodi..Hamia ambako hakuna wapumbavu
Kwa hiyo yalikuwepo? Una akili timamu kweli wewe?Hayo MAGEUZI hayakuwepo kabla ya TOZO?
Halafu unamaanisha nini ukisema MAGEUZI?
Maana isije ukawa unajiandikia tu maneno usiyo na ufahamu nayo?
Kwahiyo unasema kwamba tozo zimeleta MAGEUZI?
Uwezo wake uko vizuri sana na tunaangalia namba na performance ya Uchumi sio chuki zako binafsi..Nimelalamika juu ya uwezo wa mwigulu nimechokoka huu usomi wake Ni wa mashaka sana