Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

Haki za binadamu zipi jomba unazosema. ..mbona watanzania wapo free sana kufanya chochote Wanachotaka ili mradi wasivunje sheria
 
Serikali nafikiri imeweka pamba masikioni, haisikii la muadhini wala muumini.
Wananchi wanalia na sakata la Mbowe, kitu ambaco hata wana CCM tunaona ni filamu ya kuigiza.
Kama kuna ugaidi wa Mbowe serikali ingechukua hatua muafaka zaidi kuliko kuji expose negatively ili kuwafurahisha watu wa Mwendazake.

Serikali ilibidi kuona the writting on the wall baada ya mabalozi kuhudhuria kesi ya Mbowe pale Kisutu.
Badala ya kuchukua hatua mahsusi, Waziri wa Mambo ya nje anawaonya!!
Public rebuke kwa mtu anaye kufadhili kistaarabu kwa miaka mingi!

Hicho tunaita kiburi cha kijinga!

Sasa wanaanza kuondoka na kuhamisha balozi zao toka nchini!
Balozi Liberata Mulamula is this a POSITIVE OR NEGATIVE diplomatic achievement under your tenure?
Frankly, what did we expect?
 
Niambie nchi top ten duniani ambazo hazijawahi kuwa na uvunjwaji wa haki za binadamu
 
Ile slogan ya yule bibi ya ku-rebrand Tanzania siisikii tena. Kunani?
 
Huyu waziri alianza vibaya nina wasiwasi na uwezo wake
Alianza vibaya wapi?

she is alone of the most decorated diplomats and her cv huwezi kuimatch
-Kuongoza Great Lakes Initiative tena enzi za vurugu za kagame na wenzake
  • elimu
  • kuwa Balozi
  • kuwa katibu mkuu wa wizara ya nje
  • kuwa mkurugenzi wa African studies George Washington university

tupe cv yako sasa
 
kiuhalisia huwezi Kuwa na liubalozi lagharama na hakuna biashara yamaana mnafanya zaidi ya kuitwa mabeberu!! balozi nyingi zitahamishiwa Kenya iwapo viongozi wetu watazidi kufail kujenga uchumi na mashirikiano kimataifa
Na hawa jamaa wanapoondoka hata mzunguko wa foreign currency unapungua
 
CV na delivarance ni vitu viwili tofauti,kinachojengewa hoja hapa ni delivarance
 
China ni marafiki zetu wa damu, Wadanish wasitubabaishe. Maroronya yote Kariakoo yanatoka China.
Nyie watoto na vipimbi vya kizazi hiki hamjui kuwa miradi mikubwa sana kama Kibaha Eduction Centre na Shule mahiri na ya vipaji maalum ya Kibaha Secondari School ziizotoa viongozi wengi serikalini zimejengwa kwa msaada wa nchi za Nordic!
Hata Kikwete kasoma Kibaha , na shule zilijengwa wakati wa Mwalimu.
Mtajuaje wakati mmesoma kayumba?
 
Kwa mambo ya kijinga wanayofanya serikali basi itaendelea kusikitishwa sana
 
Huyu waziri alianza vibaya nina wasiwasi na uwezo wake
Nchi zinakuwa na uhusiano wa kibalozi na uhusiano mwingine wa ndani kwa sababu Kuu tatu. Mahusiano makubwa ya kibiashara (Economic linkages), ili kizitawala hatari za kiusalama (strategic Importance) au kuwepo kwa uhusiano wa kinasaba(Ndugu zap wengi wanaoishi huko). Tanzania haina vyote hivyo kwa Denmark. Hatuna hata wakimbizi wengi.
 
CV na delivarance ni vitu viwili tofauti,kinachojengewa hoja hapa ni delivarance
Mwambie huyo, hata Mugabe alikuwa na CV kiboko lakini yeye ndiye aliyeiua Zimbabwe kabla hawajampindua na baadaye kufariki.

CV hazina maana yoyote kama huwezi kuitumia kuwaletea wananchi wako maendeleo, zinabaki ni makaratasi tu ambazo mwingine akizidiwa anaweza kwenda nazo chooni.
 
Mimi pia naona kama zimekinzana...

You never know with politicians

Leo anakwambia tupige nyungu, kesho anakuambia tupige chanjo
Unaonaje hali ilivyo baada ya chama kutoka kwenye mikono ya washamba na kurudi kwa watoto wa mjinj kina JK? Mambo safi ee?
 
Iweke hapa hiyo taarifa,hata hivyo wanaweza ondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…