Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mkuu,ni ukarimu kwa wageni huo.Tiss waongeze umakini wa vetting Kwa viongozi.vetting ya huyu kiongozi tuliyenaye haikufanywa Kwa weledi.Huyu ni mamlumi wa Dubai ndiyo maana ngorongoro kawauzia waarabu wa Dubai na kuwafukuza wenyeji .
Usione vyaelea vyaundwa by JK πMbona Kalenga,Tagamenda,Nduli na Igwachanya vinatwaliwa na wanyaboma!?π
ππππππNilisema humu na bado naendelea kusema. Hii kasi aliyokuja nayo, iko siku itafika. Kila unapokanyaga unaambiwa hili eneo huruhusiwi kufika, ni la nchi/mtu fulani ndani ya TZ. Tuendelee kuwachekea tu, tutakuja kushtuka too late.
Wafute kote mpaka Kizimkazi ibaki Butiama tuSerikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
Acha kupotosha jamiiSerikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
JK alikua na mbwembwe bin madoido.Atuuzie kijiji chao Msoga ahamie Kilolo.Usione vyaelea vyaundwa by JK π
JK bhana hapo Tosa alikuwa anaingia hadi church πππJK alikua na mbwembwe bin madoido.Atuuzie kijiji chao Msoga ahamie Kilolo.
Haiko hivyo ndugu. Binadamu hakamilishwi na hivi pekee.!!OMBI langu kwa serikali iboreshe mazingira kule mvomero ya Barbara, hospitali maji ,maeneo ya malisho na ufugaji, umeme na malazi Bora kwa Hawa wamasai
Labda atakayekuja atabadilishaNilisema humu na bado naendelea kusema. Hii kasi aliyokuja nayo, iko siku itafika. Kila unapokanyaga unaambiwa hili eneo huruhusiwi kufika, ni la nchi/mtu fulani ndani ya TZ. Tuendelee kuwachekea tu, tutakuja kushtuka too late.
Zilikuwa siasa tu zileMkuu,ni ukarimu kwa wageni huo.
NB;Hivi,bucha za nyamapori ziliishia wapi?
Hii shida yote inayotupata chanzo ni yeye mzee wa kukenua kenua, iliyobakia ni kumsomea kurjuan tu maana imeshakuwa ujinga huu sasa.JK bhana hapo Tosa alikuwa anaingia hadi church πππ
JK ni Mtu na Nusu ππ
Church huwa halina nongwa.Na wewe uingie pale masjid Miyomboni kwa wamanyema ukiwa umetinga bunango zako na nyanyapuza uone watakavyokutoa unyoya!π€£JK bhana hapo Tosa alikuwa anaingia hadi church πππ
JK ni Mtu na Nusu ππ
Hai kwa Mbowe?Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
Una ubavu wa kuishughulikia CCM weye? CCM unayoiimbia sifa na utukufu siku zote na kumkiri shujaa wake? πMkoa wa Iringa ni kuumeni hakunaga Mtu ataugusa bwashee π
Ngoja Bibi wa Kizimkazi amalize kujenga barabara ya kuingia Ruaha ndiyo mtajua hamjui!Mkoa wa Iringa ni kuumeni hakunaga Mtu ataugusa bwashee π
Wangemfuta kwanza mazaWangefuta nchi nzima.Kuanza upya siyo ujinga.
Huyo Mbunge kama anaakili AJIUZULU UBUNGE na arudi kwa wanainchi waliomtuma Kupigania haki yao katika UPANDE WA WANANCHIJe ni halali mbunge wa Ngorongoro kuendelea kuwepo bungeni? Anamwakilisha nani? Wanyama na misitu!