Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Tiss waongeze umakini wa vetting Kwa viongozi.vetting ya huyu kiongozi tuliyenaye haikufanywa Kwa weledi.Huyu ni mamlumi wa Dubai ndiyo maana ngorongoro kawauzia waarabu wa Dubai na kuwafukuza wenyeji .
Mkuu,ni ukarimu kwa wageni huo.
NB;Hivi,bucha za nyamapori ziliishia wapi?
 
Nilisema humu na bado naendelea kusema. Hii kasi aliyokuja nayo, iko siku itafika. Kila unapokanyaga unaambiwa hili eneo huruhusiwi kufika, ni la nchi/mtu fulani ndani ya TZ. Tuendelee kuwachekea tu, tutakuja kushtuka too late.
📌📌📌📌📌📌
 
Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;

Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.

Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.

Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.

Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
Wafute kote mpaka Kizimkazi ibaki Butiama tu
 
Acha kupotosha jamii
 
Yere yere! Karibuni msomera, maji, umeme, mashule, internet, mabwawa, sehemu za kuchungia ngombe zimejaa tele, ngombe mpaka anafikisha kilo 200 ndani ya muda mfupi
 
OMBI langu kwa serikali iboreshe mazingira kule mvomero ya Barbara, hospitali maji ,maeneo ya malisho na ufugaji, umeme na malazi Bora kwa Hawa wamasai
Haiko hivyo ndugu. Binadamu hakamilishwi na hivi pekee.!!

Soma na sikiliza historia hii👇👇

Wa- Israel walihamishwa kwa nguvu toka ktk ardhi ya asili maelfu ya miaka iliyopita matukio yaliyofanyika mara mbili.

Mara ya kwanza: Mamilioni ya Wa - Israel walikuwa evicted kule Misri ya Kale. Baada ya kuishi miaka 430 Misri finally walirudi ktk nchi yao ya Asili na Mungu aliwaunga mkono..

Mara ya pili: Wa - Israel hawahawa kwa hila na kwa nguvu walihamishwa kwa mara nyingine tena toka ktk nchi ya asili yao na kupelekwa nchi ya kigeni ya Babel (Iraki ya leo). Wakaishi kule miaka 70 huku wakiwa na huduma zote muhimu..

Lakini baada ya miaka 70 walirudi ktk nchi ya asili yao..
===================================
Hata hawa Wamasai serikali inaweza kufanikiwa KUWAHAMISHA ktk nchi na ardhi yao ya asili kwa nguvu, ulaghai na udanganyifu...

Lakini baada ya muda fulani, nakuhakikishia kuwa wata trace asili yao na watakuja kurudi kwenye ardhi na nchi ya baba na babu zao huku Bi. Samia Suluhu Hassan mtekelezaji wa mpango huu mwovu akiwa amegeuka kuwa udongo na mavumbi ktk ardhi - yaani akiwa alishajufa na kuoza..

Asili ya mtu haipptei. Kama wewe uko huko uliko na hukumbuki kwenye asili yako, then wewe ni mfu na pengine siyo binadamu wa kawaida..!
 
Nilisema humu na bado naendelea kusema. Hii kasi aliyokuja nayo, iko siku itafika. Kila unapokanyaga unaambiwa hili eneo huruhusiwi kufika, ni la nchi/mtu fulani ndani ya TZ. Tuendelee kuwachekea tu, tutakuja kushtuka too late.
Labda atakayekuja atabadilisha
 
Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;

Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.

Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.

Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.

Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
Hai kwa Mbowe?
 
Back
Top Bottom