Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakoloni wapya wa zama hizi.Wanaigawa nchi upya kimipaka kama mwaka 1886 kule Berlin/scramble for Ngorongoro.Amri batili hii
Haruhusiwi kufuta chochote...anaruhusiwa tu kubadili mipaka sio kufuta
Waziri kiazi
Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
View attachment 3074791
Utaambiwa umeanza uhaini na kuwa kitisho kwa ustawi wa nchi.Utapelekwa mung'anda/geto/mahabusu huku umeshikwa mkubeto utembelee vidole.Wangefuta Kizimkazi.
Dah,Mkoa wa Iringa ni kuumeni hakunaga Mtu ataugusa bwashee 😄
Mpaka upepo upulize tuone nyeti za kuku ndiyo tutatoa jibu.Dah,
Kwa hiyo Ngorongoro siyo Kiumeni?!
Taja sheria au kifungu cha katiba kilichotumika na siyo kubwabwaja hovyo!tuliza mihemko bas na makasiriko,
ni muhimu sheria za nchi zikazingatiwa na kufuatwa bila shuruti 🐒
Wewe umeona hizo wilaya ulizozitaja zimefutwa au mipaka imerekebishwa?Wewe ni mnafiki mkubwa, umeweka heading ya Ngorongoro as if ndio iliyofutwa pekee, wakati Kasulu, na nyingine hukuziweka hapo juu!!
Wewe mwenyewe hata huijui hiyo sheria inasema nini zaidi ya kujua kuitamka tu..Masai kasomeni Sheria ya Ardhi namba 4 ya mwaka 1999. Tatizo mnajazwa upepo na wanasiasa uchwara wasioishi Ngorongoro
Msomera mbona pazuri tu“Hatua ya kufuta vijiji na vitongoji ni hatua inayoenda mbali sana. Maana yake ni kwamba wananchi wahusika hawatakuwa na serikali zao za mitaa vijijini na vitongojini. Hii ni kinyume cha ibara ya 145 na 146 ya Katiba ambayo inazungumzia Madaraka ya Umma na kuweka Serikali za Mitaa. Kuwa na madaraka ngazi ya vijiji ni mosi, kuimarisha demokrasia ngazi za chini; pili kuwezesha wananchi waishio vijijini kushiriki katika utawala ambayo ni haki yao kwa mujibu wa ibara 21(1); na tatu, waishio katika eneo hilo kupata haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika Halmashauri zao kama wananchi wenzao waishio katika maeneo mengine. Kwa kuwa vijiji vimefutwa wananchi hao watakosa haki hizo. Kwa maneno mengine wamekuwa disenfranchised (Kuporwa haki). Jamani tunaelekea wapi? Nini lengo la kufanya hivyo? Je tuelewe vipi? Tuambiwe waziwazi kama jamii ya Kimaasai waishio Ngorongoro ni wananchi au wakimbizi wa ndani? Prof. Shivji
Maneno ya Mhadhiri Mwandamizi Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Profesa wa Sheria Profesa Issa Shivji kupitia mtandao wake wa X.View attachment 3074956
Wamasai hawotoki kupokio mainderioKuna shido ya nino teno?
Taha majina yako Karatu na mahalo lipo kwa sasaWaiite sasa Wilaya ya Waarabu, ili kuhalalisha huo uhuni wao.
Nenda wewe!Msomera mbona pazuri tu
Dogo! Haki ikitendeka hakuna mzozo. ukiona hivyo ccm waisha fanya Dili aridhi ya wananchiMasai kasomeni Sheria ya Ardhi namba 4 ya mwaka 1999. Tatizo mnajazwa upepo na wanasiasa uchwara wasioishi Ngorongoro
zingatia tangazo la serikali gentleman, makasiriko wala mihemko haisaidiiTaja sheria au kifungu cha katiba kilichotumika na siyo kubwabwaja hovyo!
