Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Uko sahihi kabisa
 
Aiseh!!
Nilisahau kua aliulizaga swali hadi jamaa alishindwa kutoa jibu sahihi.

Hahahahahahahaha......
Kumbukumbu zipo mkuu, ila anatakiwa atujibu sababu ni nini maana amenilike tu akacheka akanyamaza.
Pascal tupe jibu;
1.Lini hasa ulipigwa pin?
2.Sababu uliambiwa ni nini?
 

Maisha ya watu yamekuwa magumu kupita kiasi lakini MATAGA kwa sababu akili yako imenajithiwa na buku 7 hutajifanya hulioni hilo.
 

Richard ninajua kuwa ww ni mjinga, ila sikujua kuwa ni mjinga kiasi hiki! Wazungu wamuandae Tundu Lisu kwa ajili ya madini yaliyopo hapa nchini. Kwani mpaka sasa wanaochimba hayo madini ni wazaramo? Hawa wazungu waliopo sasa hivi ni tofauti na wazungu huko Lisu alipo? Ni madini gani ambayo yako hapa nchini wazungu wameyataka wakayakosa, ila Lisu akiwa rais ndio watayapata? Je hayo madini yaliyopo hapa nchini hayapo pengine Afrika, bali yako tu hapa Tanzania? Hivi hizi propaganda za kizee bado mnawalisha vijana wa kizazi hiki, na mtegemee kuwahadaa?
 

Demokrasia bado kwanini walichukuwa??
P, inabidi mtetee sana vyombo nasikia TZ Daima imefugwa na waandishi wananyamaza Tu! !
 
Matunda ya kujiunga na wamsifiao na kumwabudu mr jiwe
 
Usikute bado unaishi kwa wazazi wako ambao wanaishi kwa hisani na ukamilifu wa Dkt Magufuli, then unasema na wao wanalamba soli za viatu. Mijitu kama wewe ndiyo ilipaswa isizaliwe Tz.
alaumiwe baba kutokuvaa kondom ile siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…