sasa nimeelewa kwa nini kusifu na kuabudu kumekuwa kwingi these last couple of years.
ambao tumekuwa tukimnanga
Pascal Mayalla kwa kujipendekeza tulipaswa tujue kwanza predicament yake halafu tumsaidie (just like tulivyowachangia viongozi wa Chadema kulipa faini over 300M tusingeweza kushindwa kumuwezesha Pascal ili afanye investment kwenye eneo jingine kwa ajili ya kujikimu huku akiendelea kupigania kurudishiwa press card yake).
tungekuwa tumefanya hivyo, sidhani kama mada za Pascal humu jukwaani zingekuwa na sura ya kusifu na kuabudu kama afanyavyo sasa. sasa mlitaka baba wa watu aue watoto kwa njaa?
funzo: tusiwe wepesi wa kutoa hukumu kwa wengine kabla ya kutafuta ukweli kwanza.
mkuu
Pascal Mayalla, mimi mwalimu M-Mbabe naomba uniwie radhi kwani kuna kauli za kitesi nilizitoa dhidi yako from time to time.