Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Wale washabiki wa TL wanatakiwa kujua "there is no free lunch in town"

In most cases wazungu huwa wanajenga mifumo ya kuandaa papets ili watimize malengo yao.

Mtu kama Nyerere will never be celebrated kwenye kumbukumbu za wazungu ili wengine wasijifunze na kumfanya role model.

Ila Mandela wanamkuza kwa kuwa alilubali kusaini uhuru wake pasi kugusa maslahi ya wazungu ya kiuchumi/kibiashara.

Then akapewa Nobel Peace Prize.

Until we African we wake up and write our own history, build our own economic system, develop our own education systems that solves local problems or utilizes assets available to build our economies,
make/groom our own LEADERS (thru elections and appointments); tutaona faida ya endowment of wealth in motherland Afrika.
 

Hold on, mnasema ‘Asante Mungu’ au mnamtaka Mungu amshukuru Magufuli.?

Niliwahi kuisikia hii!
 

Kumbe Undumilakuwili hasa kwa Serikali ya Awamu ya Tano ulikuwa na Chanzo chake hivyo huenda kuanzia sasa tukaanza Kusifia na Kupongeza.
 
Bila shaka Pascal Mayalla umempata slow slow make uliahidi makubwa endapo utampata na bila shaka hizi ni dalili tutegemee makubwa zaidi.

Hongera sana brother usitusahau na sisi kwenye ufalme wako.
 
Tuna timiza wajibu wa kusifu na kuabudu lakini bado tunalimia meno tu,hali ikiendelea hivi tutaongea lugha muda moja muda si mrefu.

Unaweza kuangalia historia yangu JF tangu ilipoanza. Sina sababu ya kusifu bila kujirizisha, nimekuwepo awamu zote Japo awamu ya kwanza nilikuwa nasoma. Serikali hii hasa awamu ya 5 inatekeleza yale ambayo ndiyo yalikuwa madonda ndugu wakati hii JF inaanza. Kwa maoni yangu JF ilishanunuliwa na mafisadi ambao wanafikiria sisi hatuoni unaweza kuona mwenyewe.

BTW you are not one of those who were around when JF started, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..
 

Mkuu shukran sana, lakini Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu wamejaa uzandiki na fitna tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…