Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Hakika Mama is doing good sana,
 
Acheni kutulisha MATANGO PORI
Vyakula vyote vimepaanda bei kuanzia unga mchele mafuta nyanya vitunguu nk. Petrol na Gas imepaa. Bidhaa za madukani/viwandani hazisemeki. Bila aibu unasema mfumuko wa bei uko between 3 na 5?
Wakati w JPM mlituambia ati kwa kuwa vyakula havijapanda ndio maana mfuko uko chini. Sasa leo chakula kimepaanda mara mbili iweje mfumuko ubaki palepale?
Hebu wachumi mje huko mtuambie hesabu za mfumuko wa bei uzinapigwaje hawa CCM wanatudangaanya
 
Weldone Tanzania
 
Tanzania kama Tanzania
 
Someni haya nyie BAVICHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…