Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
😀😀😀Chawa
😀😀😀Chawa
Fanya kazi kwa bidii utakutana nazo lazima,Hizo pesa zinazungukia wapi ?, au wenye kamba ndefu wanazimaliza kabla ya kufika huku chini ?
kwahio hazijaongezeka ?, Logically kama nilikuwa nafanya kazi at the same speed (constant) na mwanzo nilizipata alafu zikapotea na sasa zimepotea zaidi, logic tells me hazijaongezeka....Fanya kazi kwa bidii utakutana nazo lazima,
Volumes imeongezeka kwa lugha rahisikwahio hazijaongezeka ?, Logically kama nilikuwa nafanya kazi at the same speed (constant) na mwanzo nilizipata alafu zikapotea na sasa zimepotea zaidi, logic tells me hazijaongezeka....
kwa kwenye kamba ndefu kwa lugha rahisi zaidiVolumes imeongezeka kwa lugha rahisi
Ongeza urefu wa yako pia mkuu wangukwa kwenye kamba ndefu kwa lugha rahisi zaidi
Shida hizi zilizopo sasa ni sababu ya urefu wa kamba tunaowatuma wachume ili wagawanye keki wanaishia kule peke yao..., kwahio unless otherwise wewe sio Mzalendo itakuwa sio hekima kunishauri na mimi niungane na walafi wala keki ya taifa peke yaoOngeza urefu wa yako pia mkuu wangu
Kula urefu kwa lugha sanifu ya kiswali ni "Kufanya jambo katika mipaka iliyokusudiwa "Shida hizi zilizopo sasa ni sababu ya urefu wa kamba tunaowatuma wachume ili wagawanye keki wanaishia kule peke yao..., kwahio unless otherwise wewe sio Mzalendo itakuwa sio hekima kunishauri na mimi niungane na walafi wala keki ya taifa peke yao
Iliyokusudiwa na nani? sheria au ulafi wa matumbo ya walaji ?, Kwahio kama mtu namlipa alime hekari 10 nimlipe nikaja kesho amelima hekari 15 nitakuja juu kwamba kwanini umekula zaidi ya kamba yako ?Kula urefu kwa lugha sanifu ya kiswali ni "Kufanya jambo katika mipaka iliyokusudiwa "
Sijui wewe unaelewaje
Hapana mkuu unakosea, Sicho alichomaanisha MamaIliyokusudiwa na nani? sheria au ulafi wa matumbo ya walaji ?, Kwahio kama mtu namlipa alime hekari 10 nimlipe nikaja kesho amelima hekari 15 nitakuja juu kwamba kwanini umekula zaidi ya kamba yako ?
msemo huu katika context ya siasa na watendaji ni kila mtu anakula kulingana na fursa anayopata (mtendaji anakula kila wahitaji huduma wakija) mnunuzi anakula 10%; Traffic kwa kila mwenye makosa...,
twende kazi na SamiaNa ubishi Juu, kila la heri Ndugu yangu!
Watu wanatumia Bank kwa sasa,Nonsense, NonsenseView attachment 2105567
Kazi nzuri sanaa,Kazi ni nzuri sana kwa Tanzania,
😀😀😀haya upesi sana fanya kujijibu mwenyewe kwa ile ID yako nyingine.
Kama sio BOT data zitoke wapi?Hizo data mnazocopy hazina maana kama Mwananchi wa kawaida Maisha yake yanazidi kuwa magumu kwa mfumuko wa bei pamoja na kutokuwa na kipato.
Ukizichunguza sana hizo figures zenu za money supply utagundua kuwa BOT inawapa banks fedha at discounted rates halafu haya mabenki yanawakopesha wafanya biashara ambao wengi wao ni wakubwa; wengi wao wasio kuwa wazawa hivyo ingawa mnasema mzunguko wa fedha umeongezeka lakini hazifiki mifukoni wa Watu wa hali ya chini badala yake hao wahindi wanazitorosha na kwenda kuzificha DUBAI na Mauritius!!! Fedha inayobaki nchini inakuwa na impact ndogo sana kwenye uchumi wa nchi ukilinganisha na Fedha iliyotolewa kutoka huko BOT.
Hivyo hizo data zenu zinakuwa ni indicative tu lakini hazina uhalisia. Wananchi wanapigika mara mbili kwanza kwa mfumuko wa bei due to increased money supply na pili kwa mifuko Yao kuwa mitupu [ uneven income distribution]!! You should analyse how the increased money in the economy is distributed amongst the population. Utashangaa kuona kuwa hizo fedha zinawanufaisha wachache sana ingawa data zenu zinaonesha kuwa fedha iliyotoka BOT zimeleta mzunguko mkubwa!
Sifieni pale panapokuwa na matokeo mazuri yanapopatikana na sio kusifia madhumuni ambayo hayazazaa matunda yaliyotarajiwa!!