Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,430
- 1,637
Mimi ni CHADEMA ila namkubali Mama balaa sitaki kabisa kukumbuka tulikotoka,Tunajadili mambo ya msingi kwenye uchumi sio upuuzi wako
Mimi ni CHADEMA ila namkubali Mama balaa sitaki kabisa kukumbuka tulikotoka,Tunajadili mambo ya msingi kwenye uchumi sio upuuzi wako
Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,
Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
Mimi nilikuwa mdau wa Upinzani kwa miaka mingi ila toka wapinzani wanunuliwe niliwapuuza rasmi,nimewahi tumia rasilimali zangu kwa ajili ya wapinzani hasa Silinde na Waitara.Mimi ni CHADEMA ila namkubali Mama balaa sitaki kabisa kukumbuka tulikotoka,
Mimi nimeamua kwa moyo wangu wa dhati nimuunge mkono Mama huyu ametufaa sana kama Taifa,Mimi nilikuwa mdau wa Upinzani kwa miaka mingi ila toka wapinzani wanunuliwe niliwapuuza rasmi,nimewahi tumia rasilimali zangu kwa ajili ya wapinzani hasa Silinde na Waitara.
Na kale kashonza kalikuwa kanatupangia majukumu tukiwa chuo kumbe ni kashenzi.From there nikaacha siasa rasmi nikawa mpinzani wa Magu hasa kwenye sera zake za kipuuzi za Uchumi.
Alivyoshika mama nikaona tunaenda sawa kwenye issues za management of economy,mambo ya siasa sihusiki nayo,namkubali mama kwenye sera za Uchumi za kiliberali.
Mimi nimeamua kwa moyo wangu wa dhati nimuunge mkono Mama huyu ametufaa sana kama Taifa,
Apigwe ban kabisa. Anapotosha na vi thread vyake uchwara.Kwani ni kosa mpaka ale ban 😛😛
Sana kabisa,Tanzania Nchii nzuri sana
Amepotosha kwenye lipi?!Apigwe ban kabisa. Anapotosha na vi thread vyake uchwara.
Mkuu wewe ni msemaji wa wananchi?Hizo data mnazocopy hazina maana kama Mwananchi wa kawaida Maisha yake yanazidi kuwa magumu kwa mfumuko wa bei pamoja na kutokuwa na kipato.
Ukizichunguza sana hizo figures zenu za money supply utagundua kuwa BOT inawapa banks fedha at discounted rates halafu haya mabenki yanawakopesha wafanya biashara ambao wengi wao ni wakubwa; wengi wao wasio kuwa wazawa hivyo ingawa mnasema mzunguko wa fedha umeongezeka lakini hazifiki mifukoni wa Watu wa hali ya chini badala yake hao wahindi wanazitorosha na kwenda kuzificha DUBAI na Mauritius!!! Fedha inayobaki nchini inakuwa na impact ndogo sana kwenye uchumi wa nchi ukilinganisha na Fedha iliyotolewa kutoka huko BOT.
Hivyo hizo data zenu zinakuwa ni indicative tu lakini hazina uhalisia. Wananchi wanapigika mara mbili kwanza kwa mfumuko wa bei due to increased money supply na pili kwa mifuko Yao kuwa mitupu [ uneven income distribution]!! You should analyse how the increased money in the economy is distributed amongst the population. Utashangaa kuona kuwa hizo fedha zinawanufaisha wachache sana ingawa data zenu zinaonesha kuwa fedha iliyotoka BOT zimeleta mzunguko mkubwa!
Sifieni pale panapokuwa na matokeo mazuri yanapopatikana na sio kusifia madhumuni ambayo hayazazaa matunda yaliyotarajiwa!!
Data za kupika wakati hali halisi huku mtaani ni mbaya.Amepotosha kwenye lipi?!
Kwani hizo data source ni nani?Data za kupika wakati hali halisi huku mtaani ni mbaya.
Jadiri hoja usipotoshe mjadala!Mkuu wewe ni msemaji wa wananchi?
Kwani hizo data source ni nani?
BOT wanapika data kwanini?Kwani huko BOT haziwezi kupikwa? Unakumbuka wakiwahi kuleta sheria ya kuthibiti utoaji wa data; unadhani madhumuni yake yalikuwa nini?
Ukweli ndio huu mkuuMama ana nia njema na nchi, hivyo kwa kuheshimu wema wake huo, chonde chonde msimueleze uongo mwambieni ukweli.
Hizi ID za mwendokasi sio za kuaminika!ID mwezi uliopita,hizi ni ID za mapambio tu!Mimi nilikuwa mdau wa Upinzani kwa miaka mingi ila toka wapinzani wanunuliwe niliwapuuza rasmi,nimewahi tumia rasilimali zangu kwa ajili ya wapinzani hasa Silinde na Waitara.
Na kale kashonza kalikuwa kanatupangia majukumu tukiwa chuo kumbe ni kashenzi.From there nikaacha siasa rasmi nikawa mpinzani wa Magu hasa kwenye sera zake za kipuuzi za Uchumi.
Alivyoshika mama nikaona tunaenda sawa kwenye issues za management of economy,mambo ya siasa sihusiki nayo,namkubali mama kwenye sera za Uchumi za kiliberali.
BOT wanapika data kwanini?