Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Sina shaka Rais Samia atafanya vizuri katika nyanja za uchumi, hasa kwa vile aliyemtangulia alifanya makosa mengi na ya dhahiri. Alitaka kuturudisha kwenye uchumi wa Kijamaa wakati dunia imesonga mbele. Zaidi ya hayo, hakuwa hata na idea ya Ujamaa wenyewe. Maana angekuwa na uelewa wa Ujamaa angalau angejiepusha na makosa yake na kubaki na mazuri yake- kama walivyofanya China na kwa kiasi fulani Cuba. Tatizo la mama litakuwa urekebishaji wa mfumo wa siasa. Hili litampa taabu sana. Issue kama kesi ya Mbowe isiyo na tija yeyote ila kumchafulia jina...hilo hajaling'amua! Angalia juzi anaajiri watu kwa vile tu ataka wamwone yeye hana 'roho mbaya' ingawaje hakuna hata doket ya vyeo vyao! Hawa wawili watalipwa mishahara na marupurupu mengine.....ili tu wamsaidie kushika kiboko......!
Africa tuna safari ndefu. Wakati mwingine nawaza tungeendelea kutawaliwa hadi 2020 hapo tungekuwa tumejifunza hasa namna ya kuendesha system hii ya utawala. Maana lazima tukubali, system hii si yetu, walioitunga ni wazungu. Ukitaka kujua ukweli wa haya, tazama zile nchi zilizotawaliwa muda mrefu kuliko sisi, hata barani Afrika.
 
Unaandika halafu unakuja kujijibu mwenyewe. Huku unachungulia post yangu imesomwa mara ngapi?

Frankly speaking mambo serious sana nimeyapa kisogo. Ni kujitia stress tu. MMU kuzuri bana, stress freee
Mzee wa Fuko la Ids are you serious? Ndio maana mmechukua waandishi wa habari za mapambio kwenda kuwatoa kafara aisee mnawezaje kuwapa lft waandishi habari za kujitegemea kama sio rushwa? Wataandika nini wakati lift + posho wanapata, wataulizaje maswali ya kiuchunguzi
 
Unaandika halafu unakuja kujijibu mwenyewe. Huku unachungulia post yangu imesomwa mara ngapi?

Frankly speaking mambo serious sana nimeyapa kisogo. Ni kujitia stress tu. MMU kuzuri bana, stress freee
Dalili za kukosa hoja hizi 😛😛
 
Maadam ile sheria ya kishenzi ya takwimu bado ipo, upuuzi wowote wa takwimu unaweza kutolewa, wajinga wakautangaza, na wendawazimu wakaumeza.

CCM inafurahia sana watu wajinga wanaopenda kuishi katika ujinga.
 
Hawa CHADOMO watamchosha bure siku hizi wamekosa hoja kwani mama amewajibu karibu kila hoja,
Mama anafanya vizuri sana. Si umeona amefanikiwa hata kuwabambikia watu kesi huku kwa unafiki akisema anatetea haki na uhuru wa maoni?
 
Hakuna kiongozi yaani Rais amewahi fikia viwango vya juu vya uchumi kwa mda mfupi Sana kama Samia..

Kwa ishu za chuki binafsi ruksa ila kwa Takwimu za Uchumi Samia hana wa kushindana nae.

Unfortunately kwa Nchi zetu hizi maskini na zenye wajinga wengi, Uzuri wa Rais ni kupayuka hovyo,Kutukana na upuuzi mwingine.

NChi za wenzetu Rais anapimwa kwa rekodi za Uchumi na sio vinginevyo.Hongera Sana Samia.
Na kweli rekodi yake ya unafiki, uwongona kubambikia watu kesi, haijawahi kufikiwana yeyote. Chini ua miezi 6, tayari alikwishapata ujasiri wa kubambikia watu kesi, kusema uwongo na kauli nyingi za kinafiki kuwa anataka haki, huku yeye mwenyewe akikanyaga haki kwa matendo na kauli. Unafiki mkubwa. Mahali sahihi pa mtunafiki, ni jehanamu.

Jambo la kutia moyo, hata wazungu aliolenga kuwahadaa, wametambua unafiki na uwongo wake. Ataendelea kupigiwa vigelegele na wapungukiwa kichwani, lakini siyo na wenye uelewa.
 
Tunajadili mambo ya msingi kwenye uchumi sio upuuzi wako
 
Back
Top Bottom