Ukweli ndio huu mkuu
Acheni uchawa wenu hamumsaidii!!
Ukweli ndio huu mkuu
Wewe ndio unamsaidia?Acheni uchawa wenu hamumsaidii!!
Mbona kuna attachment hapo za AfDBHujawahi kuona data za BOT za GDP gwowth zikiwa tofauti na zile za mashirika kama World Bank na IMF kwanini?
Wewe ndio unamsaidia?
Mbona kuna attachment hapo za AfDB
Umetaka kushawishi zitumike taarifa za nje au sikukuelewa?Umeuliza swazi la BOT sasa huku AfDB kunahusika vipi?
Tufanye kazi kwa bidii tu#Tanzania nakupenda
Umetaka kushawishi zitumike taarifa za nje au sikukuelewa?
daaahZitumike local data ambazo zinaonesha uhalisia sio za kuchachawa!! Unakumbuka zile figures mlizomchomekea Rais kuhusu status ya foreign reserve kwenye speech yake aliyoitoa mwisho wa mwaka? Namna hiyo mtaaminika vipi na niye ndio wasemaji wa Serikali?
Kwani nani kakwambia uiamini? I'd yangu original ilipigwa ban,by the way hutakiwi kuamini I'd amini contentsHizi ID za mwendokasi sio za kuaminika!ID mwezi uliopita,hizi ni ID za mapambio tu!
daaahHaya peleka jina wakuchague kwenye list ya mawaziri....
Tunachokiangalia je, ukuaji wa uchumi au mzunguko wa fedha unaenda sawia na ukuaji wa kipato cha wananchi? Au tunakazana kufurahisha genge la walio nacho?
Tangu lini Shabiby akajua Uchumi wewe jamaaHakika kuhusu money supply bado sana na Samia ashaambiwa ushauri wa bure na Shabiby bungeni mishahara ongeza, lipa madeni,lipa wazabuni, lipa wastaafu, lipa malimbikizo, weka bajeti ya taasis kufanya seminar na vikao, nunua mazao ya wakulima, pesa za tarura na madarasa zinaenda kwa wahuni wachache
daaahHuo mzunguko uko kwenye mifuko ya wana Lumumba na nyie chawa buku 7!
Maana mzunguko wa fedha mtaani hakuna kabisa kila mtu analia noki!
Nikweli pesa imerejea mtaani tufanye kazi kwa bidii,===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.
Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,
Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.
Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,
Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,
Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,
Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,
==================================
View attachment 2070665
View attachment 2070666
Nyie si mnatumia majini na huenda baadhi ya watoto wako imezaa na jini
Mkuu mimi hata uenyeketi tu wa Mtaa sina, Napewaje Uwaziri??
Jadili hoja achana na kujadili mimi
Wewe sio mzalendo bali ni mkata viuno wa ccm.Mkuu kuwa makini,Fedha hainunui Uzalendo,
Jadilini hoja wazee vipi??!!
Chawa===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.
Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,
Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.
Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,
Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,
Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,
Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,
==================================
View attachment 2070665
View attachment 2070666
Mkuu wewe ni msomi mzalendo sana,
Nimekufuatilia sana nimegundua wewe ni Mzalendo kwa nchi na Rais wako,
Haya mambo hayasemwi yanafichwa fichwa kwani watu hawataki Watanzania wajue nchi yetu inavyopiga hatua kwa kasi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Endelea kutuonesha kazi nzuri na bora zinazofanywa na Rais wetu,
Pesa mtaani ipo tatizo watanzania hawataki kufanya kazi kwa bidii na maarifa,