Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Hivyo vitambu vitakuwa
IST
ISM
HOPAC
St C
DIA


Nimejaribu google ila sijaona sehemu kama kina maudhui tajwa.

Kama kuna mzazi ana ushahidi aweke hapa tuone, sio wa karatasi moja bali achukue video

Hizi ndo argument za hovyo kabisa, ushahidi kwamba hili katazo halina maana au?
 
Vitabu Gani vipo kwenye syllabus hapo? Nachosema kama mmeamua kuzuia content za magharibi basi muache vyote sio kuchagua Moja na kuacha njia zingine 10.

Mfano ukiskiliza bongo fleva 90% zinaimba kuchuma mchicha, kusafisha mtaro, Kwa mpalange n.k watoto wanaziimba bila kukosea verse unadhani ukiondoa vitabu pekee inasaidia?

Ushauri wangu ni kwamba watoto wafundishwe ubaya wa mambo hayo maana watayasikia tu at some point in life. Ila kuzuia haiwezekani maana mmeachia bongo fleva waimbe matusi hayo hayo mnayopinga kwa vitabu. And bongo fleva inasikilizwa zaidi kuliko vitabu kusomwa!!
Huwa nashangaa sana nyimbo zilizojaa maudhui yasiyofaa kuachwa ziende hewani. Mamlaka husika Huwa hazisikilizi hizi nyimbo?
 
Vile viongozi wetu wanashangaa shangaa baada ya kuambiwa kuwa wamepiga vitabu marufuku kwa sababu ya fake news kutoka huko whatsapp👇😁😁😁
downloadfile(3).jpg
 
Back
Top Bottom